Kuelekea mechi ya VPL: Simba SC na Mtibwa Sugar. Itakuwa mechi kali kuwahi kutokea VPL

Kuelekea mechi ya VPL: Simba SC na Mtibwa Sugar. Itakuwa mechi kali kuwahi kutokea VPL

Leo Simba akipoteza tena ndio utajua vizuri idadi ya makocha waliopo Tanzania........kila mtu ataponda kivyake.
 
Leo Simba akipoteza tena ndio utajua vizuri idadi ya makocha waliopo Tanzania........kila mtu ataponda kivyake.
yaani wakifungwa wanaliaga sana mashabiki wa Simba kama wameibiwa kariakoo simu Iphone 6 ,yaani hawana uvumilivu kabisa ,hawajui suala lao limeingia bungeni kwenye kumbukumbu kuwa simba anabebwaa.Mi Namungo alivoonewa vile siukuwa na hamu tena na Marefa .
 
Back
Top Bottom