advocate kiza
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 259
- 90
Wakuu Habari Zenu!
Jumamosi Hii Tanzania Itasimama Kushuhudia Mechi Kubwa Kuliko Mechi Yoyote Hapa Afrika Mashariki Na Kati, Kariakoo Darby
Yanga Watakuwa Mwenyeji Wa Mchezo Huu, Utakaofanyika Uwanja Wa Taifa,
Mchezo Wa Mwisho, Uliowakutanisha Timu Hizi Uliisha Kwa Sare Ya Bila Kufungana, Huku Kipa Beno Kakolanya Akifanya Kazi Ya Ziada Katika Mchezo Huo!!
Yanga Ambayo Imekuwa Ikipata Matokeo Yasioridhisha Sana, Itamvaa Simba Anayeshika Nafasi Ya Pili Katika Kundi D Klabu Bingwa Barani Afrika,
Yanga Watamtegemea Sana Ibrahim Ajib, Eriter Makambo, Mrisho Ngassa, Feisal Salum, Kamusoko Huku Okwi, Chama,kagere, Niyonzima Watategemewa Kwa Upande Wa Simba,
Upi Utabiri Wako?????