Kuelekea mechi yao dhidi ya Nkana Red Devils tarehe 23 December 2018 ' Makomandoo ' wa Simba SC watembeza ' Kichapo ' kwa Mashabiki wa Yanga

Ning
Habari zilizonifikia hivi punde tu zinasema kwamba ' Makomandoo ' wa Simba SC katika hali ya Kuonyesha kuwa hawana ' Utani ' kabisa hasa kuelekea Mechi yao ya Kesho dhidi ya Nkana Red Devils jioni ya leo wametembeza ' Kichapo ' kikali sana kwa Mashabiki wa Yanga ambao inasemekana walikuwa wanataka Kuingia Uwanjani ' Kuroga ' ili Simba SC ' ifungwe ' na Timu hiyo kutoka nchini Zambia.

Mtoa taarifa amesema kwamba ' Mzozo ' ulianza hasa pale ambapo katika hali isiyotarajiwa na ya ' Kipopoma / Kipumbavu ' kabisa Mashabiki hao wa Yanga SC walidai kuwa wanataka kuingia Uwanjani ( Kwa Mchina / Uwanja wa Taifa ) kufanya Mkutano Wao ndipo wakashtukiwa na ' Makomandoo ' wa Simba SC ambapo waliwafuata na kuwatembezea ' Kipigo ' cha Kikatili / Kishalubela ambacho kimewaacha wengine hadi sasa hivi ni kama vile ' Nusu Marehemu ' huku wengine wakiwa wamebahatika kupata ' Vilema ' vya Kujitakia ila wapo pia ambao leo walithibitisha kuwa Mbio za Masafa marefu au mafupi ' hakubarikiwa ' nazo tu Mwanariadha Bingwa wa dunia kwa sasa Usain Bolt na kwamba kumbe hata Wao wanaweza vile vile ila bado bahati haijawadondokea.

Napenda kuchukua nafasi hii Kuwashukuru mno na sana ' Makomandoo ' hao wa Simba SC kwa Kitendo hiki cha ' Kishujaa ' kabisa walichowafanyia ' Mashabiki ' wa Yanga SC na naamini wataenda ' Kusimulia ' huko waliko au Klabuni Kwao. Simba SC wakilitaka lao linakuwa na hakuna wa Kulizuia na ole Wao tena ' Wanafiki ' wengine Kesho tena wajifanye kuwasaidia Nkana Red Devils ili Simba SC ifungwe.

Nawasilisha.
Ningekuwepo eneo la Tukio na mimi ningeongeza kipigo
 
Mngewaua tuuu, SASA Wana faida Kwa nchi hao ndala??
 
Yanga na jezi zao hawana tofauti na chama cha dola cha puerto rico acha waisome namba ingawa nao wamekimbiwa na mfadhili wao kama manchester alivyokimbiwa na morihno
chama cha Puerto Rico na Yanga The Citizen nani alitangulia kuwepo??? au chama kiliwageza baada ya kuona ni timu ya kizalendo...
 
Back
Top Bottom