Mpekuzi Tanzania
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 650
- 1,016
Jana ACT Wazalendo imezindua nembo Mpya ya Chama katika kusherekea miaka 10. Lakini Mwenyekiti wake Othman Masoud Othman alimaarudu OMO hakuwepo ukumbini, Jussa ambae ni Makamu Mwenyekiti upande za Zanzibar (mhafidhina) hakuwepo ukumbini.
Je, ACT Wazalendo Bara na Visiwani Kila mtu kaamua kuchukua njia yake?
Je, Hii ndio mwisho wa enzi wa siasa za ACT Wazalendo Bara ambako Zitto aliibeba kwa jasho na damu?
Je, ACT Wazalendo Bara na Visiwani Kila mtu kaamua kuchukua njia yake?
Je, Hii ndio mwisho wa enzi wa siasa za ACT Wazalendo Bara ambako Zitto aliibeba kwa jasho na damu?