Mpekuzi Tanzania
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 650
- 1,016
๐๐
Chama Cha akina Mama
Tawi la CCM wataungana na CHAUMA[emoji1][emoji1]
Chama Cha akina Mama
Pole sanaTawi la CCM wataungana na CHAUMA
Zito anapambana CHADEMA๐๐๐๐๐
Chama Cha akina Mama
Chama cha kidini hakiwezi kufika mbali.
Bora hata chadema,Kuna chama kama sio Muslimin huna chako.Na CHADEMA tukieke kundi gani?
Bora hata chadema,Kuna chama kama sio Muslimin huna chako.
Lete orodha ukiachana na kiongozi mkuu(naye huenda kasilimu),wengine wote utadhani ni baraza la idi.Mkuu CHADEMA ni kanisa watupu, angalau hao ACT. Kuna nyadhifa gani kubwa ndani ya Chama ukiacha nafasi za zanzibar inayoshikwa na Muislamu? ACT wagalatia kibao unawakuta.
Chama kimejaa mashangaziJana ACT Wazalendo imezindua nembo Mpya ya Chama katika kusherekea miaka 10. Lakini Mwenyekiti wake Othman Masoud Othman alimaarudu OMO hakuwepo ukumbini, Jussa ambae ni Makamu Mwenyekiti upande za Zanzibar (mhafidhina) hakuwepo ukumbini.
Je, ACT Wazalendo Bara na Visiwani Kila mtu kaamua kuchukua njia yake?
Je, Hii ndio mwisho wa enzi wa siasa za ACT Wazalendo Bara ambako Zitto aliibeba kwa jasho na damu?
View attachment 2975994
Lete orodha ukiachana na kiongozi mkuu(naye huenda kasilimu),wengine wote utadhani ni baraza la idi.