Your Majesty
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 3,242
- 5,345
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] kweli akufukuzae hakwambii toka
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] kweli akufukuzae hakwambii toka
Bora hao..Hawana big namesNasikia hao Guinea wanaupiga mpira ile mbaya.
Wale wa TANO bila wallah lazima watukutanishe naoLeo saa tatu usiku kwa saa za Africa mashariki kule Misri kutakuwa na shughuli ya upangaji wa makundi kwa timu 24 ambazo zimefudhu kucheza michuano hii mikubwa kabisa kwa timu za taifa katika bara la Africa.
Vimewekwa vyungu vinne vikiwa na timu sita sita kila chungu na timu zimepangwa kulingana na viwango vya Fifa vya mwezi wa nne.
Pot 1.....Misri-Cameroun-Morocco-Nigeria-Senegal-Tunisia
Pot 2......Dr Congo-Ghana-Mali-Ivory cost-Guinea-Algeria
Pot 3......Uganda-Benin-Mauritania-Madagascar-Kenya-South Africa.
Pot 4......Zimbabwe-Namibia- Guinea Bissau-Angola-Tanzania-Burundi.
Rule of the game. Nikwamba timu kwenye chungu kimoja haziwezi pangwa pamoja kwahyo kila chungu kitatoa timu moja ambazo zitaungana pkutengeneza kundi. Karibuni tujitabilie kundi letu waungwana.
Tuna mfunga MauritaniaHivi kama ikiwa hvyo hapo tunamfunga nani kwa mfano?
Utabiri wanguLeo saa tatu usiku kwa saa za Africa mashariki kule Misri kutakuwa na shughuli ya upangaji wa makundi kwa timu 24 ambazo zimefudhu kucheza michuano hii mikubwa kabisa kwa timu za taifa katika bara la Africa.
Vimewekwa vyungu vinne vikiwa na timu sita sita kila chungu na timu zimepangwa kulingana na viwango vya Fifa vya mwezi wa nne.
Pot 1.....Misri-Cameroun-Morocco-Nigeria-Senegal-Tunisia
Pot 2......Dr Congo-Ghana-Mali-Ivory cost-Guinea-Algeria
Pot 3......Uganda-Benin-Mauritania-Madagascar-Kenya-South Africa.
Pot 4......Zimbabwe-Namibia- Guinea Bissau-Angola-Tanzania-Burundi.
Rule of the game. Nikwamba timu kwenye chungu kimoja haziwezi pangwa pamoja kwahyo kila chungu kitatoa timu moja ambazo zitaungana pkutengeneza kundi. Karibuni tujitabilie kundi letu waungwana.
Nasikia Guinea ni nyoko wanaupiga mwingi kinyama.
Aisee...Kundi C
Senegal
Mali
Mauritania
Tanzania
""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
Aisee...Hapo mkenya na mganda lazima tupewe then kutakuwa na mwarabu mmoja aka misri then ghana
Sent using Jamii Forums mobile app
Timu mbili za kati zipo kundi moja na Timu mbili ( ya kwanza na ya mwisho) nazo kundi moja..Kundi C
Senegal
Mali
Mauritania
Tanzania
""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""