Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iashara zingekuwa zinatangazwa hivi, uchumi ungekuwa mbaliHali ya Dodoma ni kama inavyoonekana kwenye picha.
View attachment 3202539View attachment 3202540View attachment 3202541View attachment 3202542
Mkielimika sana mtasumbua!.Gharama ya mabango ingejenga vyoo vya shule na madarasa
Hivi CCM ina event kweli? Mbona kupo kimya sana? Au siku hizi mambo yao wanayafanyia ndani kwa ndani na wenyewe kwa wenyewe?Hali ya Dodoma ni kama inavyoonekana kwenye picha.
View attachment 3202539View attachment 3202540View attachment 3202541View attachment 3202542
Iyo ni pesa ya chama sio ya serikaliGharama ya mabango ingejenga vyoo vya shule na madarasa
Hajapata mgawo wala gawiwo, angekuwa kisha leta nyuzi 79 humu ndaniHii asiione Lucas Mwashambwa machozi ya furaha yatambubujika mno.
Kwani chama hakiwezi kushiriki maendeleoIyo ni pesa ya chama sio ya serikali
hayo pia maendeleo ( ya chama)Kwani chama hakiwezi kushiriki maendeleo