S Shotocan JF-Expert Member Joined Nov 21, 2023 Posts 6,650 Reaction score 12,711 Jan 15, 2025 #21 Faana said: Gharama ya mabango ingejenga vyoo vya shule na madarasa Click to expand... Hata nguo ya ndani ingetosha kununua madaftari ya kugawia watoto wasio na uwezo 20 Kwani lazima uvae nguo ya ndani
Faana said: Gharama ya mabango ingejenga vyoo vya shule na madarasa Click to expand... Hata nguo ya ndani ingetosha kununua madaftari ya kugawia watoto wasio na uwezo 20 Kwani lazima uvae nguo ya ndani
Y yungeni Member Joined Jan 8, 2025 Posts 43 Reaction score 47 Jan 15, 2025 #22 Mla Bata said: Hii asiione Lucas Mwashambwa machozi ya furaha yatambubujika mno. Click to expand... Atakuwa yuko msibani kwa mahawe
Mla Bata said: Hii asiione Lucas Mwashambwa machozi ya furaha yatambubujika mno. Click to expand... Atakuwa yuko msibani kwa mahawe
C Chasaga JF-Expert Member Joined Sep 13, 2024 Posts 279 Reaction score 275 Jan 15, 2025 #23 Kilawo said: KPromo NYingi sana hahaha Click to expand... Kuna haja gani ya kufanya promo kubwa kiasi hicho kama kweli Cham kinafanya vizuri ? Kwani wananchi hawayaoni hayo mazuri yanayofanyika?
Kilawo said: KPromo NYingi sana hahaha Click to expand... Kuna haja gani ya kufanya promo kubwa kiasi hicho kama kweli Cham kinafanya vizuri ? Kwani wananchi hawayaoni hayo mazuri yanayofanyika?
JF Member JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 7,914 Reaction score 10,793 Jan 15, 2025 #24 Cannabis said: Hali ya Dodoma ni kama inavyoonekana kwenye picha. View attachment 3202539View attachment 3202540View attachment 3202541View attachment 3202542 Click to expand... Nchimbi na Makala wanajua kula hela za chama,
Cannabis said: Hali ya Dodoma ni kama inavyoonekana kwenye picha. View attachment 3202539View attachment 3202540View attachment 3202541View attachment 3202542 Click to expand... Nchimbi na Makala wanajua kula hela za chama,