Tetesi: Kuelekea Mkutano Mkuu wa CCM: Mbunge, Wajumbe na Katibu wa Mikoa wa Upinzani kujiunga CCM

Nape na Tandale one mkuu wana mahusiano gani?.
 
Kwa hali ya uchumi ilivyo mbaya,wana Haki ya kufanya hivyo ili kujinusuru kiuchumi.
Njaa haina shujaa!!
 
Hawa ni wale mliowaita OIL CHAFU ama??
Kama ndio sasa wamekuaje tena Oil Safi??
 
Kwa kasi hii ya Magufuli hamna haja ya kukaa kwa vipinzani uchwara.



Upinzani Leo ndio watetezi wakubwa Wa majizi na Mafisadi ,sasa unabaki huko kutafuta nini??
mbona ccm ni mafisadi kitambo lakini kila uchaguzi wanadai wanashinda kwa kishindo, kwa hiyo ufisafi sio tatizo kwa wapiga kura, vinginevyo ccm wamekuwa wanapora ushindi wa wapinzani
 
ala, kumbe 18 tu.... nilidhani labda wako 4M katika wale over 6M.
hili mbona ni tone tu kutoka bahari ya Hindi..
 
Kwa kasi hii ya Magufuli hamna haja ya kukaa kwa vipinzani uchwara.



Upinzani Leo ndio watetezi wakubwa Wa majizi na Mafisadi ,sasa unabaki huko kutafuta nini??
Kwa hii kasi ya kuwaambia wapinzani wasifanye siasa lakin wao wafanye,na pia kuwaruhusu polisi kuchukua elfu tano us viatu.
 
Mhe Mgana Msindai aonekana Dodoma kwenye mkutano mkuu wa Chama cha Mapinduzi.
 
Ndio hawa uliowasema??
au ulikua unabipu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…