Tetesi: Kuelekea Mkutano Mkuu wa CCM: Mbunge, Wajumbe na Katibu wa Mikoa wa Upinzani kujiunga CCM

Tetesi: Kuelekea Mkutano Mkuu wa CCM: Mbunge, Wajumbe na Katibu wa Mikoa wa Upinzani kujiunga CCM

Labda mm sijaelewa mtu anataka kuhamia kwenye chama mnongea naye nn maana kama mnafanya naye makubaliano maana yake nikama mnaingia naye mikataba na sio hiyari yake kuhamia ccm kunakitu anakitaka
Rejea Lowassa kuhamia CHADEMA, ilichukua mpaka viongozi wa dini!!
 
Duh tandale sokoni umeingizwa chaka, au wolper
Ndio mbunge wako aliyehama upinzani akarudi ccm?!
 
Mkuu nimeikumbuka hii thread nkasema nikuulize ka habari hii ya uchunguzi wa kiintelijensia ilifanikiwa. Nlichoona pale Dom ni oil chafu kurudishwa kwenye injini na makapi kurudishwa kwenye mchele. Hao wengine sikuwaona.
Lah!
 
Huyo mgombea wa uenyekiti wa BAVICHA ndio Wolper au?
 
Huyo mgombea wa uenyekiti wa BAVICHA ndio Wolper au?
Nawashangaa kweli wasanii wa Tanzania, hawajifunzi namna wanavyotumiwa na mafisi.

Hakuna chama kinachowapa nafasi wasanii za kugombea UBUNGE (siongelei viti maalamu) kama CHADEMA & tuna wabunge wawili wasanii; Sugu & Jay. Hata CUF iliwapa nafasi akina Kingwendu nk...

Huko CCM wanafuata nini ili hali hata kupewa nafasi ya kugombea haiwezekani?! Nawashangaa!
 
Back
Top Bottom