Kuelekea Morocco 2025 AFCON FINALS, nashauri Kocha Mkuu na Watendaji wake Mahiri wawe wafuatao tu

Kuelekea Morocco 2025 AFCON FINALS, nashauri Kocha Mkuu na Watendaji wake Mahiri wawe wafuatao tu

Safi sana..kwa mda mrefu natamani Pep mgunda apewe Timu huyu mwamba anajua ligi ya ndani nje ndani na anawajua wachezaji vizuri sana..sijui kwanini tunakomalia wageni kina Kim paulsen na Adel hawataifikisha stars popote...Enzi za nyuma Mexime akiwa kocha msaidizi stars iliwaka kidogo ila zamani kabisa sisi wahenga zama za Mohammed Kibadeni na Mzee wetu Malima Stars ilikua yamoto chini ya wazawa hawa..Bafanabafana,Chipolololo tulijipigia tu...Naamini hata hizi mechi mbili ni kwasababu ya mikono ya Pep mgunda
Lini hio stars iliwaka? Kama kushiriki Afcon tu imeenda mwaka 2019 na mwaka huu? Tena chini ya wazungu?

Niny wazee mnatupangaga sanaaaaaa,
 
Kocha Mkuu Taifa Stars

Juma Mgunda

Kocha Msaidizi Taifa Stars

Hemed Morocco

Makocha wa Makipa

Juma Kaseja
Ivo Mapunda

Makocha wa Mabeki

Nadir Haroub 'Cannavaro'
Victor Costa 'Nyumba'

Makocha wa Viungo

Seleman Matola 'Mzambia'
Salvatory Edward 'Mtaalam'

Makocha wa Mawinga

Steven Mapunda
Mrisho Ngassa

Makocha wa Washambuliaji

Abeid Msiba
Madaraka Seleman
Mohammed Hussein Mmachinga
Athumani Machupa

Wahamasishaji Wakuu

Jamhuri Kihwelo
Fred Minziro

Jopo la Ufundi na Ushauri Taifa Stars

Charles Mkwasa
Abdallah Kibadeni
Kanali Mstaafu Idi Kipingu
Juma Mwambusi
Oscar Mirambo
Sekilojo Chambuzi
Dua Said
Fikiri Magosso
Athumani China
George Masatu

Meneja wa Timu ( Taifa Stars )

Bakari Malima

Afisa Habari na Uhusiano wa Taifa Stars

Kalemera Rwigyema Mazimpaka Kadogoo Kisungura ( GENTAMYCINE )

Washauri Wakuu wa Taifa Stars

JamiiForums Members ( Great Thinkers ) Wote.

Rais Samia, Rais wa TFF Karia, Serikali, BMT, Wadau na Wananchi kama hiki nilichokishauri hapa kikifanyika nina uhakika wa 100% kuwa AFCON ya mwakani ( 2025 ) nchini Morocco Taifa Stars itafuzu 16 Bora, itaenda Robo na mambo yakienda vyema hata Nusu Fainali, Fainali hadi kuwa Mabingwa linawezekana na lisipowezana nawaruhusuni mnirudishe rasmi Kwetu Rwanda katika Mkoa wangu wa Gisenyi ambako nitapokelewa na Rais wangu Paul Kagame kwa Heshima zote tukuka.

Rais wa TFF Karia, Katibu Mkuu wa TFF Kidau, Waziri Dkt. Ndumbaro, Msemaji wa TFF Ndimbo na Kaimu Mkurugenzi wa Michezo Mayai najua na nina uhakika kuwa Wote huwa mnanisoma sana GENTAMYCINE hapa JamiiForums hivyo Bandiko langu hili mlichukue, mlifanyie Kazi na mlitekeleze kama nilivyoandika na kushauri hapa leo hii na mtakuja Kukishukuru na hata kunijengea Sanamu langu "Purely Talented, Charismatic Fella,, Game Changer and Entertainer" Mimi.
Mkuu hii si timu kabisa Tena imezidi idadi ya wachezaji[emoji3]

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Lini hio stars iliwaka? Kama kushiriki Afcon tu imeenda mwaka 2019 na mwaka huu? Tena chini ya wazungu?

Niny wazee mnatupangaga sanaaaaaa,
Huna ulijualo we pimbi..unajua stars imebeba mara ngapi Chan,Cecafa na makombe mangapi chini ya hao wazawa
 
Back
Top Bottom