- Thread starter
- #21
Safi Sana,inatakiwa ujiamini na chama lako bana.Mi naenda zangu kununua jezi ya Yanga naivaa kwanzia Mliman city siivui hadi kesho [emoji2] Tushinde tusishinde lazima nilienzi Chama langu[emoji41]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi Sana,inatakiwa ujiamini na chama lako bana.Mi naenda zangu kununua jezi ya Yanga naivaa kwanzia Mliman city siivui hadi kesho [emoji2] Tushinde tusishinde lazima nilienzi Chama langu[emoji41]
Sanaaa.. Mi sijali watani wangu kelele zaoSafi Sana,inatakiwa ujiamini na chama lako bana.
Nashindwa kuelewa kwanini baadhi ya wenzako hawataki kbs kujiamini.Sanaaa.. Mi sijali watani wangu kelele zao
mi navaa chama langu rasmi kwa moyo mmoja na mkunjufu
Si wanakubali Mtazamo wa mtu/watu uangushe msimamo wao.Nashindwa kuelewa kwanini baadhi ya wenzako hawataki kbs kujiamini.