M Mc PIPI JF-Expert Member Joined Feb 25, 2020 Posts 325 Reaction score 442 Mar 8, 2020 Thread starter #21 princess ariana said: Mi naenda zangu kununua jezi ya Yanga naivaa kwanzia Mliman city siivui hadi kesho [emoji2] Tushinde tusishinde lazima nilienzi Chama langu[emoji41] Click to expand... Safi Sana,inatakiwa ujiamini na chama lako bana.
princess ariana said: Mi naenda zangu kununua jezi ya Yanga naivaa kwanzia Mliman city siivui hadi kesho [emoji2] Tushinde tusishinde lazima nilienzi Chama langu[emoji41] Click to expand... Safi Sana,inatakiwa ujiamini na chama lako bana.
princess ariana JF-Expert Member Joined Aug 19, 2016 Posts 9,245 Reaction score 18,347 Mar 8, 2020 #22 Mc PIPI said: Safi Sana,inatakiwa ujiamini na chama lako bana. Click to expand... Sanaaa.. Mi sijali watani wangu kelele zao mi navaa chama langu rasmi kwa moyo mmoja na mkunjufu
Mc PIPI said: Safi Sana,inatakiwa ujiamini na chama lako bana. Click to expand... Sanaaa.. Mi sijali watani wangu kelele zao mi navaa chama langu rasmi kwa moyo mmoja na mkunjufu
M Mc PIPI JF-Expert Member Joined Feb 25, 2020 Posts 325 Reaction score 442 Mar 8, 2020 Thread starter #23 princess ariana said: Sanaaa.. Mi sijali watani wangu kelele zao mi navaa chama langu rasmi kwa moyo mmoja na mkunjufu Click to expand... Nashindwa kuelewa kwanini baadhi ya wenzako hawataki kbs kujiamini.
princess ariana said: Sanaaa.. Mi sijali watani wangu kelele zao mi navaa chama langu rasmi kwa moyo mmoja na mkunjufu Click to expand... Nashindwa kuelewa kwanini baadhi ya wenzako hawataki kbs kujiamini.
princess ariana JF-Expert Member Joined Aug 19, 2016 Posts 9,245 Reaction score 18,347 Mar 8, 2020 #24 Mc PIPI said: Nashindwa kuelewa kwanini baadhi ya wenzako hawataki kbs kujiamini. Click to expand... Si wanakubali Mtazamo wa mtu/watu uangushe msimamo wao.
Mc PIPI said: Nashindwa kuelewa kwanini baadhi ya wenzako hawataki kbs kujiamini. Click to expand... Si wanakubali Mtazamo wa mtu/watu uangushe msimamo wao.