Kuelekea mpambano wa Watani wa Jadi, Simba atafungwa Goli 3-0

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Ndugu yangu wa JF

Usipoteze muda na nguvu zako kunibishia au kunitukana au kunikashifu bure kwani habari hii ni ya ndani sana, ya uhakika, ya siri na imetoka kwenye vyanzo vya uhakika

Ieleweke kuwa hapa hakuna uchawi wala ulozi ila sayansi ndiyo inafanya kazi kikamilifu

Kama una tatizo la Pressure tafadhali usiende Uwanjani kabisa siku hiyo ili kuepusha maafa

Poleni sana ndugu zetu wa Msimbazi na kamwe msijaribu kupuuza andiko hili bali mjiandae kisaikolojia

Ni vema pia mkaweka kumbukumbu ya andiko hili kwa faida ya rejea yenu baada ya Jumamosi ya Septemba 25

Niwatakie mchana mwema

Aksanteni
 
Ungeleta hoja ni kwanini una mtazamo huo. Au mzungu pori atakuwa ndiye striker?
Au unapiga ramli. Unabahatisha bahatisha ili baadae ikiwa hvyo urudi hapa ukijiona konki kuwa ulitabiri.

Sasa fanya hvi odd ya utopolo kushinda ni zaidi ya 3.
Weka yanga win & 3+ ukiweka milioni utapata si chini ya mil 5 faida.😄
 
Ndugu yangu wa JF

Usipoteze muda na nguvu zako kunibishia au kunitukana bure kwani Habari hii Ni uhakika kutokea vyanzo vya uhakika

Ieleweke kuwa hapa hakuna uchawi wala ulozi

Kama una tatizo la Pressure usiende Uwanjani kabisa siku hiyo ili kuepusha maafa

Poleni sana ndugu zetu wa Msimbazi na kamwe msijaribu kupuuza andiko hili

Ni vema mkaweka kumbukumbu ya andiko hili kwa faida ya rejea baada ya Jumamosi ya Septemba 25

Aksanteni
NAJUA ATAFUNGWA ILA IDADI YA MAGOLI BADO SIJAYAJUA.
 
38CD6C54-3FD6-489E-A9D8-6B2733F47CD9.jpeg

Ndugu yangu wa JF

Usipoteze muda na nguvu zako kunibishia au kunitukana bure kwani Habari hii Ni uhakika kutokea vyanzo vya uhakika

Ieleweke kuwa hapa hakuna uchawi wala ulozi

Kama una tatizo la Pressure usiende Uwanjani kabisa siku hiyo ili kuepusha maafa

Poleni sana ndugu zetu wa Msimbazi na kamwe msijaribu kupuuza andiko hili

Ni vema mkaweka kumbukumbu ya andiko hili kwa faida ya rejea baada ya Jumamosi ya Septemba 25

Aksanteni
 
Mpira ulianza kushabikia lini, Kama ni rahisi hivyo si ukaweke mzigo kwa Mhindi? Tena ubeti hayo magoli matatu, odd yake ni kubwa! Hlf ndo utajua hujui mpira.
 
Ungeleta hoja ni kwanini una mtazamo huo. Au mzungu pori atakuwa ndiye striker?
Au unapiga ramli. Unabahatisha bahatisha ili baadae ikiwa hvyo urudi hapa ukijiona konki kuwa ulitabiri.

Sasa fanya hvi odd ya utopolo kushinda ni zaidi ya 3.
Weka yanga win & 3+ ukiweka milioni utapata si chini ya mil 5 faida.[emoji1]
Mazombie yanaamini kila upuuzi unaotoka kwenye kinywa cha zeruzeru
FB_IMG_1631703587751.jpg
 
Ukiona wazee wamesha anzisha choko choko,mtifuano uliopo ndani ya yanga huwa unaamia mpaka uwanjani juma mosi yanga anatandikwa barabara
 
Ndugu yangu wa JF

Usipoteze muda na nguvu zako kunibishia au kunitukana au kunikashifu bure kwani habari hii ni ya ndani sana, ya uhakika, ya siri na imetoka kwenye vyanzo vya uhakika

Ieleweke kuwa hapa hakuna uchawi wala ulozi ila sayansi ndiyo inafanya kazi kikamilifu

Kama una tatizo la Pressure tafadhali usiende Uwanjani kabisa siku hiyo ili kuepusha maafa

Poleni sana ndugu zetu wa Msimbazi na kamwe msijaribu kupuuza andiko hili bali mjiandae kisaikolojia

Ni vema pia mkaweka kumbukumbu ya andiko hili kwa faida ya rejea yenu baada ya Jumamosi ya Septemba 25

Niwatakie mchana mwema

Aksanteni
Utabiri wa hovyo na akili za hovyo
 
Back
Top Bottom