Kuelekea mpambano wa Watani wa Jadi, Simba atafungwa Goli 3-0

Kuelekea mpambano wa Watani wa Jadi, Simba atafungwa Goli 3-0

Ndugu yangu wa JF

Usipoteze muda na nguvu zako kunibishia au kunitukana au kunikashifu bure kwani habari hii ni ya ndani sana, ya uhakika, ya siri na imetoka kwenye vyanzo vya uhakika

Ieleweke kuwa hapa hakuna uchawi wala ulozi ila sayansi ndiyo inafanya kazi kikamilifu

Kama una tatizo la Pressure tafadhali usiende Uwanjani kabisa siku hiyo ili kuepusha maafa

Poleni sana ndugu zetu wa Msimbazi na kamwe msijaribu kupuuza andiko hili bali mjiandae kisaikolojia

Ni vema pia mkaweka kumbukumbu ya andiko hili kwa faida ya rejea yenu baada ya Jumamosi ya Septemba 25

Niwatakie mchana mwema

Aksanteni
Watu watakufa na Mo atasusa kuifadhiri Simba SC. Naomba iwe hivyo ili watu wakome kwa Dharau ,Tambo na Majigambo yao yasiyo na hoja zinazoeleweka

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Mazembe sio Yanga.
Mazembe kwa ukubwa wake alikua na haki ya kuifunga Simba hata goli tano.ni haki yake Mazembe kuifunga Simba kwasababu sifa na ubora wa Mazembe upo juu zaidi ya Simba.

Lakini sifa na ubora wa Rivers ni wa chini sana kiasi kwenye CAF ranking River ni ya nne kutoka chini.mmefungwaje na wale madogo nyinyi?
Kama una akili timamu uwezi kusema hayo.kwani Simba SC amefungwa na Yanga mara ngapi? Misimu yote iliyopita

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Yanga siku hizi wamekuwa wanasiasa. Mzee Mpili kawaharibu na kupiga ndagu
 
Back
Top Bottom