Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Pengine alishachukua ED tangia jana kwahiyo anaweza asiwepo hiyo J3πKuna mfanyakazi mwenzangu alinicheka balaaa ila namsubiri jmatatu kazini atahama ofisiii akakae kwa HR
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamoja hua kanakerakera sana, lakini rangi nyekundu inapendezesha JijiNa mpira umekwishaaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pengine alishachukua ED tangia jana kwahiyo anaweza asiwepo hiyo J3π
Kamoja kanafanya nini eti [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kamoja hua kanakerakera sana, lakini rangi nyekundu inapendezesha Jiji
πππ
Kananyemvua nyemvua eeh?πππKamoja kanafanya nini eti [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Niitie mzigua Leo maana kule wasap alintambia sanaaaaa!!![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kamoja kanafanya nini eti [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aminia mkuu, nimekubaliEndeleeni ku-LIKE wakuu wa Simba SC hamuoni nilichokisema kwenye UZI huu ndicho kilichotokea..This Is Simba
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamoja hua kanakerakera sana, lakini rangi nyekundu inapendezesha Jiji
Hahahahaaaa, kumbe tupo wengiπππ
Nakuja siku kama hizi mhimuu...This is SimbaaaaaHahahahaaaa, kumbe tupo wengiπππ
Sijui unajificha wapi siku hizi Raynavero kwanza hongera kwa ushindi
Ni vizuri sana ukipata fursa ya kua busy kama hivyo kuna wanaoitafuta nafasi hiyo miaka hawaipatiKakaa hongera na wewe...nipo sema mambo mengi muda mchachee!!!Nakuja siku kama hizi mhimuu...This is Simbaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
This is Simbaaa wale makwasu kwasu siwaoni tenaaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ni vizuri sana ukipata fursa ya kua busy kama hivyo kuna wanaoitafuta nafasi hiyo miaka hawaipati
Asante sana na hongera kwa sote, THIS IS SI SI SIMBAAAAAAAAAAAAAAAA
Kikosi kimtulia na wiki ijayo tunaanza kula viporo vyetu kimoja baada ya kingineThis is Simbaaa wale makwasu kwasu siwaoni tenaaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kikosi kimtulia na wiki ijayo tunaanza kula viporo vyetu kimoja baada ya kingine
Chura FC kwake matopeni pale Jangwani, sasa nashangaa wakija Warabu wao ndio wenyeji wao! Wakija Mwadui kucheza na Simba wanageuka watu wa Shinyanga, basi matokeo yakiwa hivi mji woote kiiimyaaa, wanatuliaaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]yaani hawa makwasu kwasu umbea uwaishe wakushabikia timu zote zinachoza na simbaaa....
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya sasa mtani usipate presha, mambo yalikuwa mengiiiii tuonane bado nipo taifa hapa parkingNishafika Mtani we uko pande zipi? πππ
Leo KITAWAAAKA. πππ