S Sesten Zakazaka JF-Expert Member Joined Sep 10, 2017 Posts 10,559 Reaction score 19,101 Feb 17, 2019 #241 Shadeeya said: πππ Click to expand... Pole sana Shadeeya ndio soka ilivyo. Halafu hawa Tanesco hawa! Naona ndio wamesababisha mpaka mkapoteza mechi janaπ
Shadeeya said: πππ Click to expand... Pole sana Shadeeya ndio soka ilivyo. Halafu hawa Tanesco hawa! Naona ndio wamesababisha mpaka mkapoteza mechi janaπ
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 154,929 Reaction score 459,607 Feb 17, 2019 #242 Shadeeya said: Hahaaa. Ulirudi usiku sana na leo upo. [emoji85][emoji85][emoji85] Hahaaa. ungeyaacha si wajua Alfajir huwa naibuka. Click to expand... Najua unaibuka dada lakini kukupa matokeo ni muhimu sana ujue
Shadeeya said: Hahaaa. Ulirudi usiku sana na leo upo. [emoji85][emoji85][emoji85] Hahaaa. ungeyaacha si wajua Alfajir huwa naibuka. Click to expand... Najua unaibuka dada lakini kukupa matokeo ni muhimu sana ujue
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 154,929 Reaction score 459,607 Feb 17, 2019 #243 Sesten Zakazaka said: Pole sana Shadeeya ndio soka ilivyo. Halafu hawa Tanesco hawa! Naona ndio wamesababisha mpaka mkapoteza mechi janaπ Click to expand... Tanesco kila kukiwa na mechi wanakata
Sesten Zakazaka said: Pole sana Shadeeya ndio soka ilivyo. Halafu hawa Tanesco hawa! Naona ndio wamesababisha mpaka mkapoteza mechi janaπ Click to expand... Tanesco kila kukiwa na mechi wanakata
Humorous Junior JF-Expert Member Joined Jul 19, 2018 Posts 1,598 Reaction score 1,410 Feb 17, 2019 #244 AsajizzleDaGreat said: Binafsi nimeshajiandaa kisaikolojia kuwa leo Yanga tunalambwa.Sina uhakika ni kipigo heavy aua simple ila hatuponi kabisaa Click to expand... HONGERA KWA KUONA HILO MAPEMA
AsajizzleDaGreat said: Binafsi nimeshajiandaa kisaikolojia kuwa leo Yanga tunalambwa.Sina uhakika ni kipigo heavy aua simple ila hatuponi kabisaa Click to expand... HONGERA KWA KUONA HILO MAPEMA
S Sesten Zakazaka JF-Expert Member Joined Sep 10, 2017 Posts 10,559 Reaction score 19,101 Feb 17, 2019 #245 Shunie said: Tanesco kila kukiwa na mechi wanakata Click to expand... Tena wanamuonea kweli Shadeeya hasa katika zile mechi ambazo ama Yanga anapapaswa au Mnyama anamrarua mtu
Shunie said: Tanesco kila kukiwa na mechi wanakata Click to expand... Tena wanamuonea kweli Shadeeya hasa katika zile mechi ambazo ama Yanga anapapaswa au Mnyama anamrarua mtu