saidikobelo
Member
- Oct 28, 2018
- 75
- 25
Tambwe hayo magoli mengi kayafunga lini? Miaka miwili ya mwisho kafunga mangap, wachezaji hukua viwango na kufa Huwez kutumia kumbukumbu ya 2014 kuelezea ubora wa mchezaji 2019, mkuda na Feisal ni viungo na viungo wana roles zao uwanjani hawapimwi kwa magoli. Unasema watu wapinge kwa hoja wakat na ww hauna hoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkapa ni MTU wa Malawi kama mmeamua kuugawa uwanja wetu Kwa watu wa Malawi Sawa!
Labda mngesema Benjameni hahahaha uwanja wa Benjameni
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba sio timu ya kuidhamini kabisa. Unaweza shangaa akapigwa 7 na yanga
Atakua ana homa ya mechi bilashaka, bahati mbaya wanapocheza na Simba dawa yake hua hakuna, avumilie tuMh
Huu umeme nina mashaka nao aisee kukiwa na mechi tu unakatika au unafanya maksudi
😳😳😳Saafi sana Dada . Japo kama kawaida kwangu Umeme hakuna.
Mnipage Updates jamaani. 🙈🙈🙈
Hiyo inaweza kuwagharimu baadae
Hiyo inaweza kuwagharimu baadae
Siku ukitegemea Simba watacheza vizuri ndio siku watakayowaangusha!
Na Okwi ndio yupo hivyo pia, maana leo kama hayupo mchezoni kabisa
Na Okwi ndio yupo hivyo pia, maana leo kama hayupo mchezoni kabisa
Aiseee simba wanakosa kosa jaman khaaaaaaSiku ukitegemea Simba watacheza vizuri ndio siku watakayowaangusha!
Hahahaa, sidhani, kama kuvuta sia anakuaga kipa na mabeki? Ni hali tu ya mchezoKavuta nn?
Hawatumii vizuri nafasi wanazozipata, sasa kibao kikigeuka ni hatari
Hahhahahah mm huwa simuelewagi @shadeeeya ukujeee dada akeeAtakua ana homa ya mechi bilashaka, bahati mbaya wanapocheza na Simba dawa yake hua hakuna, avumilie tu
Hawatumii vizuri nafasi wanazozipata, sasa kibao kikigeuka ni hatari
ngapi ukooooooooKagereeeeeeeeee [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]