nkuwi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 4,806
- 5,347
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hii ngonjera nadhani imeeleweka..Nashangaa mtu anaposema Simba INA wachezaji wazuri kuliko Yanga..Tambwe ndio mchezaji wa kigeni mwenye magoli mengi kuwahi kutokea Bongo..Zaza mzito kama Tembo..Boxer mdogo ana kasi ya mwanga...Gadiel vs Tshabalala sina cha kusema anayecheza stars ndio bora..
Wawa vs Ninja ..Ninja yuko more aggressive na umri unambeba...Yondani vs Juuko kama wewe kocha utampanga nani?..Feisal vs Mkude..Feisal ana magoli mengi..Tshishimbi vs Kotei...Kotei mcheza sarakasi..Chama na Ajibu...miassist Na mifaulo na migoli ya Kiulaya Ajibu yuko juu..Boko vs Tambwe mmh...Makambo vs Kagere..wakija scout wa Ulaya anachukuliwa Makambo...Okwi vs Ngasa..aliyecheza mpaka Na Manchester United yuko juu..mpaka Leo ndio anaongoza kwa magoli Taifa stars..bisha kwa hoja
😂😂😂Haya sasa mtani usipate presha, mambo yalikuwa mengiiiii tuonane bado nipo taifa hapa parking
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hatimaye umekuja Dada akee[emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekuja ndugu yako. Hongereni 👏👏👏Hatimaye umekuja Dada akee
Wouzeeeerrr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Nimekuja ndugu yako. Hongereni [emoji122][emoji122][emoji122]
Habari za siku?
😀😀😀 akikujibu ni tagWouzeeeerrr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hivi umeme jana ulirudi mana nataka kukupa matokeo umeshalog out
Kituo kilichofuata ni Jangwani..[emoji23][emoji23][emoji23]
Haya bana sina budi kukubali japo najua wengi hamkutarajia kupata kile kigoli kimoja.
Hahaaa. Ulirudi usiku sana na leo upo. 🙈🙈🙈Wouzeeeerrr [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hivi umeme jana ulirudi mana nataka kukupa matokeo umeshalog out
😂😂😂😀😀😀 akikujibu ni tag