Huu msimu nahisi Manchester united utakua upande wao, ukifatilia kahistoria la morinho kila msimu wake wa pili kwenye kila timu lazima achukue ubingwa pia hawakua na timu mbaya msimu ulopita ila kosa Lao kubwa lilikua ni umaliziaji wa magoli Jambo ambalo lilipelekea Kupata sare nyingi hasa mechi za nyumbani, Kama lukaku ataendelea na form yake ile ya everton ya kufunga magoli na Sasa yupo na wachezaji Kama mikhitaryan, Mata na pogba pia hii addition ya Matic pale Kati binafsi naona Manchester united Kama hawatopata majeruhi kwa wachezaji wake muhimu nina wapa nafasi kubwa ya kufanya vizuri msimu huu.
Wana timu nzuri na hali itakua mbaya zaidi Kwetu wapinzani kama kweli watamsajili huyo Gareth bale au winger yeyote mzuri maana so far hawana natural winger aina ya akina hazard au mane wakipata wa hivyo itakua hatari timu yao.