Hahahah!! Kwa Arsenal kubeba EPL sio leo wala kesho, hadi Yesu atakaporudi atakuta mnahangaikia hilo suala...Arsenal
Chelsea
Mancity
Totenham
Muda wetu arsenal
Hahahahaha! naona watu mnabet kwa mapenzi na chuki dhidi ya maadui...1.Arsenal
2.Manchester city
3.Liverpool
4.Manchester utd........
Top four hiyoo...
.
5.spurs
6.westhm
.
.
.
.10.chelsea
We una akili kuliko wote waliotabiri mpaka sasaLiverpool
Man u
Tottenham
Man city
Man U kwa timu ile iliyocheza juzi na Madrid hata top 4 hayumo, usikariri mpira hauchezwi kwa historiaHuu msimu nahisi Manchester united utakua upande wao, ukifatilia kahistoria la morinho kila msimu wake wa pili kwenye kila timu lazima achukue ubingwa pia hawakua na timu mbaya msimu ulopita ila kosa Lao kubwa lilikua ni umaliziaji wa magoli Jambo ambalo lilipelekea Kupata sare nyingi hasa mechi za nyumbani, Kama lukaku ataendelea na form yake ile ya everton ya kufunga magoli na Sasa yupo na wachezaji Kama mikhitaryan, Mata na pogba pia hii addition ya Matic pale Kati binafsi naona Manchester united Kama hawatopata majeruhi kwa wachezaji wake muhimu nina wapa nafasi kubwa ya kufanya vizuri msimu huu.
Wana timu nzuri na hali itakua mbaya zaidi Kwetu wapinzani kama kweli watamsajili huyo Gareth bale au winger yeyote mzuri maana so far hawana natural winger aina ya akina hazard au mane wakipata wa hivyo itakua hatari timu yao.
Msimu mpya wa EPL kwa 2017/18 unaanza rasmi kesho Ijumaa kwa Arsenal kuvaana na Leicester City.
Vilabu vikubwa baadhi vimejiimarisha katika usajili wa dirisha hili kubwa la Majira ya Kiangazi.
Mengi yanazungumzwa kuna timu kubwa hazitoweza kumaliza Top 4 kutokana na aina ya Vikosi vyao na hivyo kupelekea kukosa kushiriki Uefa Champions League.
Ufuatao ni utabiri wangu wa timu ambazo zitamaliza Top 4 ya EPL
1.Man City
2.Man Utd
3.Tottenham
4.Liverpool
Na Conte atakuwa kocha wa kwanza kufukuzwa kwa Timu kubwa pale EPL.
Tupia utabiri wako na wewe!
Ligi kuu ya uingereza Kuna timu Bora Kama madrid...?Man U kwa timu ile iliyocheza juzi na Madrid hata top 4 hayumo, usikariri mpira hauchezwi kwa historia
Sent using Jamii Forums mobile app
Casemiro + modric + kroos = nightmare.Man U kwa timu ile iliyocheza juzi na Madrid hata top 4 hayumo, usikariri mpira hauchezwi kwa historia
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kila siku ni Ijumaa.Kabla ya msimu uliopita kuanza Chelsea ilisemwa vibaya na Wengi waliieka man u top four
Mtu mwenye heshima kwenye soka kama ferguson akitoa chelsea had nje ya top six lakin likichokuja kutokea hakuna asiejua
tukutane february kuelekea march