Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
umetisha sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Respect Mkuu.......Umetisha!Msimu mpya wa EPL kwa 2017/18 unaanza rasmi kesho Ijumaa kwa Arsenal kuvaana na Leicester City.
Vilabu vikubwa baadhi vimejiimarisha katika usajili wa dirisha hili kubwa la Majira ya Kiangazi.
Mengi yanazungumzwa kuna timu kubwa hazitoweza kumaliza Top 4 kutokana na aina ya Vikosi vyao na hivyo kupelekea kukosa kushiriki Uefa Champions League.
Ufuatao ni utabiri wangu wa timu ambazo zitamaliza Top 4 ya EPL
1.Man City
2.Man Utd
3.Tottenham
4.Liverpool
Na Conte atakuwa kocha wa kwanza kufukuzwa kwa Timu kubwa pale EPL.
Tupia utabiri wako na wewe!
HATIMAE YAMETIMIAMsimu mpya wa EPL kwa 2017/18 unaanza rasmi kesho Ijumaa kwa Arsenal kuvaana na Leicester City.
Vilabu vikubwa baadhi vimejiimarisha katika usajili wa dirisha hili kubwa la Majira ya Kiangazi.
Mengi yanazungumzwa kuna timu kubwa hazitoweza kumaliza Top 4 kutokana na aina ya Vikosi vyao na hivyo kupelekea kukosa kushiriki Uefa Champions League.
Ufuatao ni utabiri wangu wa timu ambazo zitamaliza Top 4 ya EPL
1.Man City
2.Man Utd
3.Tottenham
4.Liverpool
Na Conte atakuwa kocha wa kwanza kufukuzwa kwa Timu kubwa pale EPL.
Tupia utabiri wako na wewe!
Bet won!!Msimu mpya wa EPL kwa 2017/18 unaanza rasmi kesho Ijumaa kwa Arsenal kuvaana na Leicester City.
Vilabu vikubwa baadhi vimejiimarisha katika usajili wa dirisha hili kubwa la Majira ya Kiangazi.
Mengi yanazungumzwa kuna timu kubwa hazitoweza kumaliza Top 4 kutokana na aina ya Vikosi vyao na hivyo kupelekea kukosa kushiriki Uefa Champions League.
Ufuatao ni utabiri wangu wa timu ambazo zitamaliza Top 4 ya EPL
1.Man City
2.Man Utd
3.Tottenham
4.Liverpool
Na Conte atakuwa kocha wa kwanza kufukuzwa kwa Timu kubwa pale EPL.
Tupia utabiri wako na wewe!
thank uBet won
hahaha.....we ni zaidi ya mchawiiiiiiiiiiiiiiiiii
pamoja mkuuDah huyu jamaa ni nyoko huu Uzi niliupuuza sana baada ya kuona timu yangu kaitupa nafasi ya NNE
Lkn kwasasa big up mkuu
Nafkiria kuwepo na beating za namna hii ingekua poa sana
nashukuru mkuuWe jamaa ni noma sana. Yametimia aisee. Big up
bahati mbaya sikubeti kwa mhindi, nilileta tu hapa jukwaani ili tupeane changamoto.We jamaa nenda tu kwa Mhindi ukachukue mzigo wako.
nashukuru kakaumetisha sana
pamoja kamandaRespect Mkuu.......Umetisha!
Msimu mpya wa EPL kwa 2017/18 unaanza rasmi kesho Ijumaa kwa Arsenal kuvaana na Leicester City.