Tissaphernes
JF-Expert Member
- Mar 27, 2018
- 2,902
- 3,560
Aiseeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahmkuu wewe ni shida aiseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Baada ya Fainali ya F.A Cup jmosi utasikia habari zakePongezi mkuu.. Japo kwa conte imegoma, uliona mbali
nashukuru mkuuBig up jomba
nashukuru sanaHongera mkuu....
tuki pamoja mkuuHongera yako mkuu.
Asante mkuu!!!tuki pamoja mkuu
Vipi mkuu? Mbona sielewi?Chelsea
Man city
Man u
Spurs
Chelsea
Man city
Man u
Spurs
Msimu mpya wa EPL kwa 2017/18 unaanza rasmi kesho Ijumaa kwa Arsenal kuvaana na Leicester City.
Vilabu vikubwa baadhi vimejiimarisha katika usajili wa dirisha hili kubwa la Majira ya Kiangazi.
Mengi yanazungumzwa kuna timu kubwa hazitoweza kumaliza Top 4 kutokana na aina ya Vikosi vyao na hivyo kupelekea kukosa kushiriki Uefa Champions League.
Ufuatao ni utabiri wangu wa timu ambazo zitamaliza Top 4 ya EPL
1.Man City
2.Man Utd
3.Tottenham
4.Liverpool
Na Conte atakuwa kocha wa kwanza kufukuzwa kwa Timu kubwa pale EPL.
Tupia utabiri wako na wewe!

Mmmmm
nashukuru mkuuHongera sana mkuu! Sipati picha huu mkeka ungekuwa uliweka bond na mhindi saiz ungetafuna mpunga wa kwel
Wwe jamaa hatari sana. Hebu tupia utabiri kombe la dunia mkuuMsimu mpya wa EPL kwa 2017/18 unaanza rasmi kesho Ijumaa kwa Arsenal kuvaana na Leicester City.