GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 6,260
- 14,470
Jamaa alitabiri hadi kufukuzwa kwa conte
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
saiv amemtabiria morinyo kufukuzwa sijui kama atapatiaa ngoja kesho tulianzisheJamaa alitabiri hadi kufukuzwa kwa conte
Ya Conte nayo imetick, make Wenger hakutimshwa, ilikuwa ni mutual agreement resignation.Pongezi mkuu.. Japo kwa conte imegoma, uliona mbali
1. LiverpoolMsimu mpya wa EPL kwa 2017/18 unaanza rasmi kesho Ijumaa kwa Arsenal kuvaana na Leicester City.
Vilabu vikubwa baadhi vimejiimarisha katika usajili wa dirisha hili kubwa la Majira ya Kiangazi.
Mengi yanazungumzwa kuna timu kubwa hazitoweza kumaliza Top 4 kutokana na aina ya Vikosi vyao na hivyo kupelekea kukosa kushiriki Uefa Champions League.
Ufuatao ni utabiri wangu wa timu ambazo zitamaliza Top 4 ya EPL
1.Man City
2.Man Utd
3.Tottenham
4.Liverpool
Na Conte atakuwa kocha wa kwanza kufukuzwa kwa Timu kubwa pale EPL.
Tupia utabiri wako na wewe!
Wewe kwa nini hukuiweka?1. Liverpool
2. ManCity
3. Man U
4. Tottenham
Inasikitisha kuona watu wamepoteza imani na Chelsea!
Ni kwann?
Soma hyooosaiv amemtabiria morinyo kufukuzwa sijui kama atapatiaa ngoja kesho tulianzishe