Kuelekea mtu anange wa kukata na shoka leo jioni kati ya Azam F.C na Mnyama.. Yule Kocha bora kabisa kwa sasa katika VPL, Dylan Kerr, mmiliki wa tuzo kibao za ukocha na kipindi anasakata kabumbu [kama beki bora wa Championship League msimu1993/94 nchini Uingereza].. Katoa tamko Kali.
Namnukuu.. ".. lakini nikuambie kitu, sisi tumejiandaa vizuri kuhakikisha tunaifunga Azam.
Azam mjiandae kuzikabili hizi bunduki mpya.. ambazo zitakua front line zikirusha makombora ya masafa marefu kuelekea kwenu;
1. Raphael Kiongera
2. Danny Lyanga
.. na saa 10 ifike mapema.. Simba S.C Nguvu Moja.