Kuelekea Mtanange wa Leo: Dylan Kerr atoa Tamko Kali!!

Kuelekea Mtanange wa Leo: Dylan Kerr atoa Tamko Kali!!

sembo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
4,350
Reaction score
3,451
Kuelekea mtanange wa kukata na shoka leo jioni kati ya Azam F.C na Mnyama.. Yule Kocha bora kabisa kwa sasa katika VPL, Dylan Kerr, mmiliki wa tuzo kibao za ukocha na kipindi anasakata kabumbu [kama beki bora wa Championship League msimu1993/94 nchini Uingereza].. Katoa tamko Kali.

Namnukuu.. ".. lakini nikuambie kitu, sisi tumejiandaa vizuri kuhakikisha tunaifunga Azam.

Azam mjiandae kuzikabili hizi bunduki mpya.. ambazo zitakua front line zikirusha makombora ya masafa marefu kuelekea kwenu;
1. Raphael Kiongera
2. Danny Lyanga

.. na saa 10 ifike mapema.. Simba S.C Nguvu Moja.
 
Kuelekea mtu anange wa kukata na shoka leo jioni kati ya Azam F.C na Mnyama.. Yule Kocha bora kabisa kwa sasa katika VPL, Dylan Kerr, mmiliki wa tuzo kibao za ukocha na kipindi anasakata kabumbu [kama beki bora wa Championship League msimu1993/94 nchini Uingereza].. Katoa tamko Kali.

Namnukuu.. ".. lakini nikuambie kitu, sisi tumejiandaa vizuri kuhakikisha tunaifunga Azam.

Azam mjiandae kuzikabili hizi bunduki mpya.. ambazo zitakua front line zikirusha makombora ya masafa marefu kuelekea kwenu;
1. Raphael Kiongera
2. Danny Lyanga

.. na saa 10 ifike mapema.. Simba S.C Nguvu Moja.

Kua makini dogo maana hiyo saa 10.inaweza isikukute duniani. Jaribu kua unamuomba mola wako.
NI KAUSHAURI TU HAKO MKUU.
 
In 3 clubs that have employed me in South Africa when they were relegation candidates with no hope in hell of surviving I’ve done it saved the status and made the fans happy. Thank you to all my technical team we did it together at TTM for putting back my faith in assistants.

Dylan ker May 2021
 
Back
Top Bottom