Kuelekea Nusu Fainali Mapinduzi Cup: A Be Che za Simba na Yanga

Ni kweli Mkuu, first half tutakua tushamaliza mchezo wote.. na kila nikiangalia, naona tunaenda kuwabugiza goli zaidi ya tatu.
Based on performance vs Azam ni kweli. Lakini msitegemee hayo. Itakuwa Yanga katika rangi yake yake halisi. Baada ya hapo itakuwa non stop hadi kuchukua ubingwa wetu VPL.
 
Based on performance vs Azam ni kweli. Lakini msitegemee hayo. Itakuwa Yanga katika rangi yake yake halisi. Baada ya hapo itakuwa non stop hadi kuchukua ubingwa wetu VPL.
Na jumanne ifike.
 
4G FC ninawaonea Huruma Kwa Kukutana na Mnyama Mwenye Hasira....
 
Ushindi wa Azam umeshikiwa bango na mikia. Mwaka wa nne wanasindikiza train kwenye ligi.
Hata wakikosa ubingwa tena, wataridhika na goli nne za Azam!
 
Safari ya Mbumbumbu fc inaishia hapo.
Yanga atatinga final na Azam.

Yanga ataibuka bingwa wa Mapinduzi cup
 
Safari ya Mbumbumbu fc inaishia hapo.
Yanga atatinga final na Azam.

Yanga ataibuka bingwa wa Mapinduzi cup

Ushindi wa Azam umeshikiwa bango na mikia. Mwaka wa nne wanasindikiza train kwenye ligi.
Hata wakikosa ubingwa tena, wataridhika na goli nne za Azam!

Based on performance vs Azam ni kweli. Lakini msitegemee hayo. Itakuwa Yanga katika rangi yake yake halisi. Baada ya hapo itakuwa non stop hadi kuchukua ubingwa wetu VPL.

Wapenzi wa Simba si mmeiona hii post? Msije kulia lia baadae.

Msimbazi Mnaongea sana kama mmekula usembe. Subirini kaburi lishachimbwa.

Mapinduzi cup na mtani jembe haya ni makombe yenu..... Ila kule kwenye lingi ndefu mtaendelea kuwa wasindikizaji

Nawatakia usiku mwema Wakuu.
 
Nawatakia usiku mwema Wakuu.
Ingekuwa muujiza tusipate salamu za Sembo hapa.

Haya Mkuu, hongereni kwa kusonga mbele. Koni iko mbele yenu, tena ya binamu yenu. Adui yenu nyote wawili hayupo. Mmalizane wenyewe
 
Ingekuwa muujiza tusipate salamu za Sembo hapa.

Haya Mkuu, hongereni kwa kusonga mbele. Koni iko mbele yenu, tena ya binamu yenu. Adui yenu nyote wawili hayupo. Mmalizane wenyewe
Haha.. Shukrani Mkuu.. Taratibu mtatuelewa kua msimu huu tunakitafuta kitu gani.. Kwa Azam hatutakua na huruma kabisa, japo ni ndugu yetu.
Hii kauli niliwahi kuinena kabla ligi haijaanza.. Lengo letu msimu huu ni kubeba kila kombe lililo mbele yetu.. Na Tunaanza na Mapinduzi Cup.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…