magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
Basi mwororo.Kabisa mkuu.. Naona kuna mvua ya magoli hasa ukizingatia Martin Sanya hayupo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi mwororo.Kabisa mkuu.. Naona kuna mvua ya magoli hasa ukizingatia Martin Sanya hayupo
Amekata tamaaMapinduzi cup na mtani jembe haya ni makombe yenu..... Ila kule kwenye lingi ndefu mtaendelea kuwa wasindikizaji
Based on performance vs Azam ni kweli. Lakini msitegemee hayo. Itakuwa Yanga katika rangi yake yake halisi. Baada ya hapo itakuwa non stop hadi kuchukua ubingwa wetu VPL.Ni kweli Mkuu, first half tutakua tushamaliza mchezo wote.. na kila nikiangalia, naona tunaenda kuwabugiza goli zaidi ya tatu.
Safari ya Mbumbumbu fc inaishia hapo.
Yanga atatinga final na Azam.
Yanga ataibuka bingwa wa Mapinduzi cup
Ushindi wa Azam umeshikiwa bango na mikia. Mwaka wa nne wanasindikiza train kwenye ligi.
Hata wakikosa ubingwa tena, wataridhika na goli nne za Azam!
Based on performance vs Azam ni kweli. Lakini msitegemee hayo. Itakuwa Yanga katika rangi yake yake halisi. Baada ya hapo itakuwa non stop hadi kuchukua ubingwa wetu VPL.
Wapenzi wa Simba si mmeiona hii post? Msije kulia lia baadae.
Mikia mtainingia na over confidence iliyoigharimu Club Bingwa ya Tanzania kwenye mchezo na Lambalamba.
Kisaikologia, tayari mikia wanajiona wapo juu na Yanga ni underdogs. Ndivyo ilivyokuwa kwenye mchezo wa Yanga na Azam.
Wala hakutakuwa na matuta. First half mchezo wote utakuwa umeishaamuliwa.
Mikia tayari wameandaa waraka wa visingizio wakipigwa.
Wataanza na mwamuzi kama kawaida yao. Mengine yanayofanana na hadithi za Abunowasi yatafuata. Utasikia Yanga inapendelewa na ZFA. Mara utasikia Yanga haijawalipa hela yao ya Kessy.
Haji Manara keshaandaa waraka huo. Utatoka dakika tano baada ya kipenga cha mwisho. Kesho yake, waraka utaongezewa nguvu na Hans Poppe.
Ushari kwa ZFA. Hao jamaa wanauwezo wa kung'oa hata viti vya zege. Ni vyema kuandaa KMKM wakutosha kuwashikisha adabu.
Msimbazi Mnaongea sana kama mmekula usembe. Subirini kaburi lishachimbwa.
Mapinduzi cup na mtani jembe haya ni makombe yenu..... Ila kule kwenye lingi ndefu mtaendelea kuwa wasindikizaji
Sembo bwana...
Hizo ni A,Be,Che za mashindano mazima kama mada yako inavyoelezea au za Simba Vs Yanga in particular?
Kama ni za mashindano mazima mbona Yanga hai'fall kwenye case yeyote kati ya hizo 3 ulizozi'list hapo...Cyo team iliyofanya vibaya,kufungwa mara nyingi wala kufungwa magoli mengi, na kama nia yako ilikuwa ni kuchambua hizi team 2 kwnn basi umeacha case ya team iliyofunga magoli mengi,ungeiweka kwenye D (Dada) walau.
Nimeamini mahaba hufifisha uwezo wa mtu ku'analyze mambo,ktk hali ya kawaida ckutegemea Sembo kama utakuja na hoja ya ki'layman kama hii,hizi ni type ya hoja za kina Allistides cijui Astrida na Ngarna
Ni mtazamo tu Wandugu.
Nawatakia usiku mwema Wakuu.Simba acheni woga
Ingekuwa muujiza tusipate salamu za Sembo hapa.Nawatakia usiku mwema Wakuu.
Haha.. Shukrani Mkuu.. Taratibu mtatuelewa kua msimu huu tunakitafuta kitu gani.. Kwa Azam hatutakua na huruma kabisa, japo ni ndugu yetu.Ingekuwa muujiza tusipate salamu za Sembo hapa.
Haya Mkuu, hongereni kwa kusonga mbele. Koni iko mbele yenu, tena ya binamu yenu. Adui yenu nyote wawili hayupo. Mmalizane wenyewe
Safari ya Mbumbumbu fc inaishia hapo.
Yanga atatinga final na Azam.
Yanga ataibuka bingwa wa Mapinduzi cup