sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
A BE CHE hizi ni za kombe la mwaka huu tu.. nazo ni kama ifuatavyo;
A:Timu iliyofanya vibaya katika michuano hii [Iliyoaibisha timu zinazoshiriki VPL]
1. Yanga
Imekua ya pili katika kundi lake huku Simba SC ikiongoza kundi lake.
BE:Timu iliyofungwa mechi nyingi [imekua punching bag]
1. Yanga
Imefungwa mechi 1.. huku Simba SC ikiwa haijapoteza mechi yoyote hadi sasa.
CHE:Timu iliyofungwa magoli mengi [yenye defence mbovu]
1. Yanga
Mpaka sasa kabugizwa magoli manne.. na hii ni katika mechi 3 tu alizocheza.. huku Simba SC ikifungwa goli moja tu.. tena kwa taabu sana katika mechi 4 alizocheza.
ANGALIZO: Ukiangalia pia trend ya Yanga ya 6-0, 2-0, 0-4, naona kinachofuata ni Simba SC anaenda kuivunja rekodi yake mwenyewe ile aliyowabugiza goli 6-0.
Ili kuepuka hii fedheha anayoenda kuipata Yanga, nawashauri jambo moja.. MSIINGIZE TIMU UWANJANI.. Mkikaidi shauri yenu.