Uchaguzi 2020 Kuelekea Oktoba 28, yahitajika busara zaidi sasa

Yaani hata hueleweki unasimamia wapi, ndio maana mtoa mada kasema tuweke ushabiki pembeni tuliokoe Taifa

Hawa ndiyo wanaoturudisha nyuma kwa kuendekeza ubinafsi wao uliopitiliza.
 
Na Kikwete aseme nini wakatii mke na mtoto wake wqnataka ubunge!

Kuwa na mke au mtoto kwenye kuusaka ubunge au cheo chochote kwa nia njema, hakumzuii mwungwana yeyote kuwa sehemu ya upatanishi kuzuia taifa lake kuingia katika machafuko yasiyokuwa na sababu.
 
Una uhakika na hii taarifa?
 
Kuwa na mke au mtoto kwenye kuusaka ubunge au cheo chochote kwa nia njema, hakumzuii mwungwana yeyote kuwa sehemu ya upatanishi kuzuia taifa lake kuingia katika machafuko yasiyokuwa na sababu.
Obviously inaonesha basi hakuna nia njema kwao!
 
Hutaki muungano utaapa kwa jina gani?
Hutaki wimbo wa taifa utapigiwa wimbo gani?
Hutaki heshima Uhuru na amani utakula matusi na kejeri?
Hawana sifa tokea hapo.

Wamesema wao au mnawasemea nyie?

Kama wanasema wao si muwaache wakutane na midahalo tuwahoji wao kama tutakavyo mhoji yeyote?

Kwa nini msiwape nafasi wajisemee wenyewe?

Kwa nini washitaki na mahakimu ni nyie wenyewe?

Oneni hata aibu kidogo basi.
 
Mbona mnakuwa waoga na kulialia Sana?
Tatizo ni kitu gani?

Hii ndio siasa Sasa msitake kujifanya mnataka kuleta siasa za new generation

CCM imefanya mambo makubwa Sana hapa Tanzania, uoga wa nn Sasa?

Tufanye uchaguzi, kama cuf wanatukana basi na nyie ccm tukaneni tu, au shida ni nn?

Unavyosema Kuna watu wanataka kukataa hata kama wakishindwa ww unategemea ccm ikishindwa watakubali?
 
Obviously inaonesha basi hakuna nia njema kwao!

Kipi kinachoonyesha kuwa hakuna nia njema? Tuwe objective wandugu. Kikwette is the best that we have currently. Huyu anaweza kusikiliza na wote.
 
Uoga unaoongelea umeuona wapi?

Kukubali kushindwa kama wewe ni mshindani wewe wauona ni uoga ila kutokubali kushindwa hali umeshindwa?

Utakuwa hajaelewa lolote kwenye mada kama si kuwa mnajiandaa kutokukubali kushindwa.
 
Hakuna mtu ambae hatokubali kushindwa but inatakiwa kila kitu kiwe wazi

Ngoja nikwambie kitu kimoja, very possible ccm inaweza kushinda kwa 100% no problem, but Yale mambo ya police kuondoka na sanduku la kura au kupiga watu for no reasons Yale ndio yanaleta makandokando ya kufanya ionekane ccm bila police hakuna ushindi
 
Bottom line kila mtu akubali kushindwa maana haya ni mashindano.

Be it jiwe ama yeyote huu mpambano nadra huwa draw.

Haki pekee na itamalaki jogoo na akawe jogoo baada ya kura za haki na si kabla.
 
Bottom line kila mtu akubali kushindwa maana haya ni mashindano.

Be it jiwe ama yeyote huu mpambano nadra huwa draw.

Haki pekee na itamalaki jogoo na akawe jogoo baada ya kura za haki na si kabla.

Kwa mambo ambayo ccm imefanya na the way inavyojiamini kuwa inapendwa basi ilitakiwa kuweka gem wazi kabisa 😂

Hakuna police, hakuna nec kuzuia mtu, kura, za wazi na zihesabiwe wazi
 
Kwa mambo ambayo ccm imefanya na the way inavyojiamini kuwa inapendwa basi ilitakiwa kuweka gem wazi kabisa 😂

Hakuna police, hakuna nec kuzuia mtu, kura, za wazi na zihesabiwe wazi

Tuko pamoja mkuu, asiyekubali kushindwa, si mshindani.

Haishindikani kuhakikisha kuwa haki na uwazi vinahakikiwa katika kipindi vyote:

1. Upitishaji wagombea na tume ya uchaguzi.
2. Kampeni za wagombea.
3. Kupiga kura.
4. Kuhesabu kura.
5. Kutangaza matokeo.

Kila mamlaka yaani tume ya uchaguzi, msajili wa vyama, polisi, mahakama, na rais aliyeko madarakani kuwa kila kimoja kinajitabaisha wazi na kwa vitendo kuwa vina tenda haki.

Fyongo yoyote mbona inaonekana wazi mno?
 
Ndivyo walivyopanga kwa maelekezo toka juu..

Ngoja waitumbukize nchi ambako majuto atakuwa yule binti jina lake wanamuitaga kule pwani, "mjukuu."

Siku moja watakumbushwa katika namna watakayoielewa vyema.

Malipo huwa ni hapa hapa duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…