- Thread starter
- #21
Yaani hata hueleweki unasimamia wapi, ndio maana mtoa mada kasema tuweke ushabiki pembeni tuliokoe Taifa
Hawa ndiyo wanaoturudisha nyuma kwa kuendekeza ubinafsi wao uliopitiliza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani hata hueleweki unasimamia wapi, ndio maana mtoa mada kasema tuweke ushabiki pembeni tuliokoe Taifa
Na Kikwete aseme nini wakatii mke na mtoto wake wqnataka ubunge!
Una uhakika ?Tarehe 28.08.2020 Tume ya Uchaguzi itayafuta majina ya wagombea urais wafuatao.
1. Tundu Lissu
2. Bernard Membe
3. maalim Seif
Kwa kisingizio kwamba hawana sifa
Una uhakika na hii taarifa?Eti kumbe
Mkuu wa Wilaya ya #Hai Lengai Ole #Sabaya ndiye Aliyeratibu Zoezi la Kuchoma Moto ofisi za Chadema Arusha Jana Usiku, Pia ndiye ameratibu Zoezi la kupiga Mawe msafara wa Lissu leo.
#Makamanda Najua Hamshindwi, Popote alipo aliwe kichwa.
View attachment 1537605
Obviously inaonesha basi hakuna nia njema kwao!Kuwa na mke au mtoto kwenye kuusaka ubunge au cheo chochote kwa nia njema, hakumzuii mwungwana yeyote kuwa sehemu ya upatanishi kuzuia taifa lake kuingia katika machafuko yasiyokuwa na sababu.
Hutaki muungano utaapa kwa jina gani?
Hutaki wimbo wa taifa utapigiwa wimbo gani?
Hutaki heshima Uhuru na amani utakula matusi na kejeri?
Hawana sifa tokea hapo.
Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.
Ni wazi kuwa kama nchi hapa tulipo tukielekea Oct. 28 hatuko vizuri. Kwamba tunawagombea ambao wamejizatiti vilivyo kutokukubali kushindwa? Hili si jambo la afya hata kidogo.
Kwamba kuna mazingira ya kuwekeana vikwazo labda kutumia hata tume ya uchaguzi kuengua baadhi ya wagombea mezani kabla ya kufika kwa wananchi kuliko na nguvu ya sanduku la kura? Hili nalo si la afya kidogo.
Kwamba kuna mikakati labda ya kutumia hata mahakama kwa mgongo wa uhuru wake na au labda eti kufuata mkondo wa sheria? Hili nalo wala si la afya tena.
Kwamba pamejitokeza matumizi ya nguvu dhidi ya watu walioko katika shamrashamra zao zisizokuwa na athari na mtu yeyote kutoka kwa wengine au mamlaka? Ni wazi kuwa kama nchi tunaelekea kubaya.
Katika hali ya dharura sana, haya ni mambo ya kulaaniwa vilivyo na kila mpenda haki na mwenye kuipenda nchi hii. Mfano dhahiri wa ya kulaaniwa ni haya ya uvunjifu wa amani yaliyotokea Arusha, Hai, Ruangwa nk na hata Mbeya. Wasiotutakia mema wanapaswa kufahamishwa bayana hivyo.
Mazingira wanayotaka kuyajenga kuwa hawatakuwa tayari kukubali kushindwa ni mambo ya kukemewa sasa kabla hatujachelewa kabisa.
Tunakwenda kwenye uchaguzi tukiwa na watia nia walio huru na sawa. Hakuna aliye na haki zaidi kuliko mwingine. Hakuna aliye mtanzania zaidi kuliko mwingine wala mwenye uzalendo zaidi kuliko mwingine. Uchaguzi si ugomvi.
Hatunaye leo Mzee Nyerere (rip). Hayupo Mzee Mkapa (rip). Busara zao zilihitajika mno sasa labda kuliko wakati mwingine wowote.
Mungu si Athumani mpo Mzee Kikwette na Mzee Mwinyi. Ni muda muafaka sasa labda zaidi sana kwa mzee Kikwette kutokulinyima taifa hili hazina ya busara zake.
Ni muhimu sana kwa Mzee Kikwette katika hali ya sasa akahusishwa moja kwa moja katika kuweka mazingira mazuri ya kufahamiana. Mustakabala na ujenzi wa salama katika nchi yetu hauwezi kuwa mikononi mwa "wawamba ngozi au ngoma" peke yao.
Uchaguzi si uadui. Uongozi ni wa Watanzania si wa mtu binafsi wala chama binafsi.
Yasemekana tayari tumekwisha poteza mtu mmoja. Hebu na asipotee wala kuumizwa mwingine kwa sababu ya uchaguzi tu.
Matumizi yoyote ya nguvu, janja janja, laghai, hila, husuda na vyote vya namna hiyo tokea kokote visipewe nafasi.
Polisi, mahakama, tume ya uchaguzi na msajili wa vyama vya siasa wajikite kwenye majukumu yao yaliyo ya msingi zaidi. Hebu wasiwabughudhi au kutumika kuwabugudhi wanasiasa au watia nia. Tuipe nafasi busara kutawala kuliko mabavu.
Hatukujifunza bado tokea katika matukio mengi mema tu yaliyo kwenda kinyume na matakwa ya maadui zetu?
Muda wa kuiponya nchi yetu ni sasa
Tulipo tunahitaji busara zaidi kuliko vinginevyo. Kwa kiswahili fasaha tuseme, "anahitajika zaidi sasa mwenye kuweza kumfunga paka kengele."
Wito: Huu ni muda muafaka wa maongezi. Kumhusisha rais mstaafu Mzee Kikwette sasa, angalipo lingekuwa jambo la heri sana.
Busara za mzee huyu zisizokuwa na upendeleo wowote zisikilizwe na pande zote. Tanzania ni kuu mno kuliko mtu au chama chochote:
Wito: Chonde chonde, Tanzania ni zaidi mno ya yeyote
Nawasilisha.
Tarehe 28.08.2020 Tume ya Uchaguzi itayafuta majina ya wagombea urais wafuatao.
1. Tundu Lissu
2. Bernard Membe
3. maalim Seif
Kwa kisingizio kwamba hawana sifa
Obviously inaonesha basi hakuna nia njema kwao!
Una uhakika na hii taarifa?
Mbona mnakuwa waoga na kulialia Sana?
Tatizo ni kitu gani?
Hii ndio siasa Sasa msitake kujifanya mnataka kuleta siasa za new generation
CCM imefanya mambo makubwa Sana hapa Tanzania, uoga wa nn Sasa?
Tufanye uchaguzi, kama cuf wanatukana basi na nyie ccm tukaneni tu, au shida ni nn?
Unavyosema Kuna watu wanataka kukataa hata kama wakishindwa ww unategemea ccm ikishindwa watakubali?
Uoga unaoongelea umeuona wapi?
Kukubali kushindwa kama wewe ni mshindani wewe wauona ni uoga ila kutokubali kushindwa hali umeshindwa?
Utakuwa hajaelewa lolote kwenye mada kama si kuwa mnajiandaa kutokukubali kushindwa.
Baada ya hizo namba 1, 2 na 3, itabidi iongezwe namba 4, uchaguzi nao ufutwe.Tarehe 28.08.2020 Tume ya Uchaguzi itayafuta majina ya wagombea urais wafuatao.
1. Tundu Lissu
2. Bernard Membe
3. maalim Seif
Kwa kisingizio kwamba hawana sifa
Hakuna mtu ambae hatokubali kushindwa but inatakiwa kila kitu kiwe wazi
Ngoja nikwambie kitu kimoja, very possible ccm inaweza kushinda kwa 100% no problem, but Yale mambo ya police kuondoka na sanduku la kura au kupiga watu for no reasons Yale ndio yanaleta makandokando ya kufanya ionekane ccm bila police hakuna ushindi
Bottom line kila mtu akubali kushindwa maana haya ni mashindano.
Be it jiwe ama yeyote huu mpambano nadra huwa draw.
Haki pekee na itamalaki jogoo na akawe jogoo baada ya kura za haki na si kabla.
Kwa mambo ambayo ccm imefanya na the way inavyojiamini kuwa inapendwa basi ilitakiwa kuweka gem wazi kabisa 😂
Hakuna police, hakuna nec kuzuia mtu, kura, za wazi na zihesabiwe wazi
Hicho ndicho kinachotafutwa MkuuWasifanye hivyo. Tusiwaruhusu kufanya hivyo.
Hatutawaruhusu kufanya hivyo.
Busara isipotumika tunaelekea kubaya. Tunaelekea kwenye kuandika historia mbaya kwa taifa hili ambayo haitafutika daima.
Historia itakuwapo kwa ajili ya hukumu ya haki.
Kwetu sote: "Asiyekubali kushindwa si mshindani"
Ndivyo walivyopanga kwa maelekezo toka juu..Tarehe 28.08.2020 Tume ya Uchaguzi itayafuta majina ya wagombea urais wafuatao.
1. Tundu Lissu
2. Bernard Membe
3. maalim Seif
Kwa kisingizio kwamba hawana sifa
Hicho ndicho kinachotafutwa Mkuu
Ndivyo walivyopanga kwa maelekezo toka juu..