Kuelekea pambano kati ya Simba na JS Saoura, inadaiwa hawa ni mashabiki wa Simba wakilinda uwanja

craq

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
859
Reaction score
1,866
Jana usiku eti makomando wa simba wana ulinda uwanja..sasa swali la kujiuliza Saoura fc ni wageni hawajui chochote wataufanya nn uwanja au watafukia nn

simba bwana eti wakiulinda uwanja ndio watawafunga waarabu



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haa Hao Siyo Simba Wala Komandoo
Ni Picture Picture
 
Kulinda uwanja wala si tatizo. Labda kama walikufukia Mbuzi hapo nje ya uwanja
 
Mbona simuoni Juma Mnonjii hapo?
 
Hujawahi kusikia ulinzi shirikishi? Hapa nadhanu utakuwa umejichanganya. Serikali yenyewe inasema kila raia/mwananchi ni mlinzi wa mali ya umma. Na ndo maana hata kuna ulinzi shirikishi ndo maana ukimwona mtu anaharibu sehemu au anaiba haunyamazi ukasema ni kazi ya serikali. Kwan serikali ni nani?
Kiongozi mwenye uwanja ni serikali. Ulinzi ni kazi yake
 
Baada ya mechi mnaendalea kuulinda au lengo lishatimia hadi mechi nyingine?
 
Mbona simuoni Juma Mnonjii hapo?
Innalilahi wainna lilahi rajoun

Mzee mnonji amefariki toka afariki miezi minne imefika sasa hivi, amezikwa makaburi ya Mwinyimkuu Magomeni mapipa

MWENYEZI MUNGU amuhifadhi na kumuepushia adhabu ya kaburini AMEEN

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…