Habari hii imenishutua sana maana sikujua kabla.Innalilahi wainna lilahi rajoun
Mzee mnonji amefariki toka afariki miezi minne imefika sasa hivi, amezikwa makaburi ya Mwinyimkuu Magomeni mapipa
MWENYEZI MUNGU amuhifadhi na kumuepushia adhabu ya kaburini AMEEN
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nimsake kibunyule
Baada ya mechi mnaendalea kuulinda au lengo lishatimia hadi mechi nyingine?
Chizi maarifa.Yote yanawezekana. Sifahamu kwa nini hili linakutesa. Maana wanaolinda ni waume wa watu ambao maybe wake zao ndo wangelalamika.ila rafiki yangu umeumia hao watu kulinda uwanja.
Kwani wanakuingiza hasara gani? Mi nadhani waliona wao walale pale then sioni tabu. Na serikali bila shaka itakuwa imeshukuru maana inawezekana watu kabla ya mechi wakafanya uharibifu wa uwanja. Na kama wake zao waliridhika basi kwa wengine wasiumie