jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,342
Habari hii imenishutua sana maana sikujua kabla.Innalilahi wainna lilahi rajoun
Mzee mnonji amefariki toka afariki miezi minne imefika sasa hivi, amezikwa makaburi ya Mwinyimkuu Magomeni mapipa
MWENYEZI MUNGU amuhifadhi na kumuepushia adhabu ya kaburini AMEEN
Sent using Jamii Forums mobile app