Kuelekea Pambano la Watani wa Jadi, Simba SC Yanga FC Aprili 29, 2018 Nani Kupapaswa

Kipigo cha mbwa koko. Ulimi nje [emoji16] [emoji16]
 
Naona tayari imepaki kuwachukua Mnyama Mkali
 
Mitulinga FC walikuwa wakisema eti watatukuta kwenye msimamo wa ligi.. thubutuu yake.. Toka Malinzi aende gerezani hawajawahi kuongoza ligi ya VPL.. This is Simba
malinzi alikuwa anaifanyia simba vigisu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…