Kuelekea Pambano la Watani wa Jadi, Simba SC Yanga FC Aprili 29, 2018 Nani Kupapaswa

Kuelekea Pambano la Watani wa Jadi, Simba SC Yanga FC Aprili 29, 2018 Nani Kupapaswa

Time ndo itaongea, na nita watafuta wote leo kipigo chake kitakua ni cha Mbwa koko[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hivi mbwa koko kwa kiingilish anaitwaje?
 
Vikosi vya leo huenda zikapangwa hivi;

SIMBA: Manula, Gyan, Kwasi, Mlipili, Nyoni, Kotei, Mkude, Kapombe, Kichuya, Bocco na Okwi.

YANGA: Rostand, Kessy, Mwinyi, Yondani, Dante, Makapu, Tshishimbi, Mhilu, Rafael, Ajib na Chirwa.
 
SHAIRI

UTANI WA JADI YANGA NA SIMBA

Leo siku imefika
Siku tuliyoitaka
Mwali wetu atatoka
Bikira tutamtoa

Ukweli ninatamka
Malengo tuliyaweka
Kwa mwali kumualika
Tupate jifaidia

Msimbazi ametoka
Gauni amejivika
Umbo lake kaanika
Vidume kutamania

Na Yanga pasipo shaka
Mahaba kayatamka
Demu Simba nakutaka
Uroda kunipatia

Manara akatamka
Ipo siku itafika
Nitakupa ulotaka
Hadi raha kusikia

Leo sasa imefika
Ahadi twaikumbuka
Uroda tunautaka
Taifa twakungojea

Uje huku warembeka
Macho yako kurembuka
Mashine tumeiweka
Yasubiri kukoboa

Kiunoni kujivika
Mapambo sitotamka
Wayajua pasi shaka
Ashiki kutuletea

Mabao ya uhakika
Matatu uliyotaka
Ubikira kukutoka
Uroda kuuachia

Kidile mwali kivika
Leo mwali anatoka
Yanga tutafurahika
Kichuna kujipatia

Mwisho hapa nimefika
Utani kuuandika
Mapovu sitoyataka
Utani ni asilia.
 
Mambo ni [emoji91] [emoji91] [emoji91]
IMG_20180429_142259_666.jpg
 
Kichuya kwake Asante Kwasi, Okwiiii la ni goal kick
 
14' Simba SC 0-0 Yanga FC

Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam
 
Goooooaaal Goooooaaal ni Erasto Nyoni anaindikia Simba SC bao la kwanza
 
Woyooooooooooooooooo
Mitulinga FC walikuwa wakisema eti watatukuta kwenye msimamo wa ligi.. thubutuu yake.. Toka Malinzi aende gerezani hawajawahi kuongoza ligi ya VPL.. This is Simba
 
Back
Top Bottom