Kuelekea Pambano la Watani wa Jadi, Simba SC Yanga FC Aprili 29, 2018 Nani Kupapaswa

Kuelekea Pambano la Watani wa Jadi, Simba SC Yanga FC Aprili 29, 2018 Nani Kupapaswa

IMG-20180429-WA0042.jpg
 
Leo kuna mchezaji wa simba ataondoka na mpira wake baada ya kupiga hat trick
 
Anakwenda pale kwake Martin pembeni mwa uwanja lakini ananyang'anywa na huyo Asante Kwasi na anapiga shuti la chini chini kwake Bocco, Boccoooo kwake Kichuyaaa, Kichuyaaa okwiiiiiiiii Goooooaaal Goooooaaal.. Ni yule yule Emmanuel Okwi anaindikia Simba SC bao la tatu.. Simba SC 3-0 Yanga

Bwihi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Tunapasha mitambo kidogo
 
Back
Top Bottom