Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Tupo fiti,simba ya mwaka huu ipo imara kila sekta,hatujafungwa msimu huu halafu yanga watufunge?Naona wana Msimbazi tumejiamini kupita maelezo hili linanipa shaka sana..maana Kwenye soka bwana lolote laweza kutokea..