Kuelekea Pambano la Watani wa Jadi, Simba SC Yanga FC Aprili 29, 2018 Nani Kupapaswa

Kuelekea Pambano la Watani wa Jadi, Simba SC Yanga FC Aprili 29, 2018 Nani Kupapaswa

Ikiwa Mbeya City baada ya kuupiga vilivyo mpira, Yanga wakaona waruweruwe wakasema wachezaji wako 16.

Yamkini Simba SC watakuwa 20 namna balaa la Okwi, Bocco na Kichuya watakavyo papasa Yanga pale dimba la Mchina.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
.
IMG-20180428-WA0197.jpg
 
Rufaa dhidi ya Mbeya City, majibu yake ni haya
IMG_20180428_220540_853.jpg
 
Kuna tetesi kuwa Vyura Fc hawataleta timu uwanjani ili waunge mkono juhudi za Mnyama kunyanyua kwapa msimu huu
 
hivi mechi hii kupangwa muda mmoja na game ya man u na arsenal, vitu vingine si vya kushindanisha, mara chache utakuta madrid na barcelona wanacheza muda mmoja.
 
Kama desturi kitambulisho cha mvua tayari
 
Back
Top Bottom