Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahaaaaa. Yaani.Aisee ni noma sana. Walitaka tusishuhudie mtanange wa VPL
Nahisi ningekuwa nawakumbuka sana Watani zangu wa humu aiseee.
Ila tushukuru kwamba imesharudi tumekutana tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaaa. Yaani.Aisee ni noma sana. Walitaka tusishuhudie mtanange wa VPL
Mkuu, pale MIKIA SC huwa unachezaga namba ngapi..?Mtani asilimia 95% ni ushindi kwa Simba SC.
Kwako droo, au kufungwa, usitegemee ushindi mkuu Hajar
Mtani asilimia 95% ni ushindi kwa Simba SC.
Kwako droo, au kufungwa, usitegemee ushindi mkuu Hajar
Hahaaa. Mtasema hivyo sababu ya kikosi chenu ila nikwambie Mtani tusubiri tuone muda utaongea.Mtani asilimia 95% ni ushindi kwa Simba SC.
Kwako droo, au kufungwa, usitegemee ushindi mkuu Hajar
WoooooooozeeeeeerMwaka wetu. Ushindi ni jadi yetu. Kufungwa kwetu mwiko. This is Simba SC
Pesa ya kununua ngamia mnayo? Kama pesa ya maji tu shida. Labda mchinje 'kitoto' cha kukuTushachinja ngamia mnakufa 2-1.hii ndio yanga
Unamuongelea Tambwe wa mwaka mmoja uliopita mzee..! Umri ushamtupa yulenakumbuka Manji alivyoanza kuifadhili Yanga Kassim Dewj akamwambia mpira wa bongo sio utalost..akamwambia siongei na wauza sambusa...Manji karudi rasmi kundini jipeni moyo swaumu kushney...forward line ya Yanga Ngoma,Chirwa,Tambwe na Ajibu hakuna watoto siku hiyo.....Kapombe ana TB sugu,Pilipili mmh Juuko kilaza,Nyoni bishoo hawezi kazi kazi...muulizeni Banda anakumbuka
We unaamka usingizini aisee.. Yaani mpaka dakika hii unamtaja Ngoma, na Tambwe? wana mabao mangapi kwenye VPL?nakumbuka Manji alivyoanza kuifadhili Yanga Kassim Dewj akamwambia mpira wa bongo sio utalost..akamwambia siongei na wauza sambusa...Manji karudi rasmi kundini jipeni moyo swaumu kushney...forward line ya Yanga Ngoma,Chirwa,Tambwe na Ajibu hakuna watoto siku hiyo.....Kapombe ana TB sugu,Pilipili mmh Juuko kilaza,Nyoni bishoo hawezi kazi kazi...muulizeni Banda anakumbuka