Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Kweli mpira unaujua Sesten japokuwa kwa mbaali naona una chembe chembe za kugwaya. [emoji12] [emoji12]Ni mechi ngumu kwa pande zote. Mara nyingi mchuano baina ya timu hizi hauangalii nani yupo on fire wakati huo, utakuta ule upande unaodhaniwa ni bora kipindi hicho ndio wanapoteza mchezo au wana struggle sana kupata angalau sare
Kiukweli mechi za Simba na Yanga huwa hazitabiriki.