Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ikiwa Mbeya City baada ya kuupiga vilivyo mpira, Yanga wakaona waruweruwe wakasema wachezaji wako 16.
Yamkini Simba SC watakuwa 20 namna balaa la Okwi, Bocco na Kichuya watakavyo papasa Yanga pale dimba la Mchina.