Kuelekea pasaka usiku huu sijalala nikitafakar neno la bwana wa majeshi ya mbingun

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nannyi wapendwa katika bwana

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Niko hapa kitandan nimeket mikonon nimeshika maandiko matakatifu ya bwana

Natafakar sana juu ya maisha yangu siku nikifa je nitatupwa moton? Au nitaenda kufurah na malaika za bwana

Nina hofu na mashaka sana juu ya hatma yangu huko mbingun, ninawaza sana hapa huku nikisikliza nyimbo za injil

Pasaka ndo hiyo imefika na nimefunga siku tano tu

Nisamehe bwana mimi ni binadam mkosefu siko mtimilifu

Nisamehe bwana wa majeshi NATUBU ZAMBI ZANGU, NISAFISHE BABA, NIOSHE KATIKA KRISTO ILI NIENDE KWA NJIA ZAKO TAKATIFU
NIFANYE NIWE MWEMA EWE BABA MKUU WA MBINGUN

AMeeeeeN
 
Mtakatifu mtakatifu bwana
Mungu wa majesh!!!

Church ya jana nmenjoy sana
 
Mtakatifu mtakatifu bwana
Mungu wa majesh!!!

Church ya jana nmenjoy sana
Hahaaaa kanisan huwa kuna raha sana mkuu

nikiwa kanisan mda mwingine huwa najihis kama niko mbingun
 
Wale wote waliolala ktk kristo wamepotea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…