Kuelekea Rais Samia kulihutubia Bunge: Barua ya Wazi kwa Spika wa Bunge Job Ndugai

Sasa hao aliokwishawapitisha wamevuliwa uanachama wa chama chao, na hivyo kwa mujibu wa katiba wamepoteza sifa za kuwa wabunge.
BARAZA KUU NA MKUTANO MKUU NDIO WENYE MAMLAKA YA KUWAVUA SIO KAMATI KUU KWA MUJIBU WA KATIBA YAO YA CHADEMA.vyama vingine tofauti kamati kuu ikikutimua katiba inatamka kuwa umeshaondoka ya Chadema haiko hivyo

pili spika kapelekewa majina na tume ya uchaguzi kwa nini Chadema HAWAKOMALII TUME WANAMKOMALIA SPIKA? kuna nini? yeye hapokei majina kienyeji anapelekewa
 
Kasome katiba ya Chadema.

Hata Mdee alikiri kuwa Kamati kuu ya Chadema ina mamlaka kwa maamuzi iliyochukua!
ALIKIRI KWA WAO KAMATI KUU KUPENDEKEZA WAFUKUZWE SIO KUFUKUZWA!!!! NDIO MAANA WAKAKATA RUFAA KWENDA KULE WALIKOPENDEKEZA KWENYE BARAZA KUU

Hata mimi nakiri kamati kuu ya CHADEMA ilikuwa sahihi kupendekeza ndio kazi yao.Ila mamlaka ya kumfukuza mtu uanachama hawana
 
Kamati kuu ina mamlaka ya kufukuza mwanachama yeyote uanachama

Soma katiba ya Chadema toleo la 2016
ibara ya 5.4.4
 
Alivyo ingia mbembwe kwa wingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…