JamiiForums
JF Official Account
- Nov 9, 2006
- 6,229
- 5,285
Ni wakati wa kuwaamini katika kila sekta, dhana za zama za giza hazina nafasi katika ulimwengu huu teknolojia .chanya. Iwapo ujuzi anao apewe nafasi bila kubaguliwa bali sifa na vigezo ndio vimpe nafasi.
Hivi hizi vitu zinamaana yeyote kweli au kufata mkumbo wa wanasiasa katika mambo yao lukuki ya kutengeneza headline lakini hayana Tija kwa mwananchi wa kawaida. Lini mwanamke hajaaminiwa na nani anatakiwa kumwamini???Kuelekea siku ya wanawake Duniani, Jamii Forums inatambua umuhimu wa wanawake kushiriki katika sekta mbalimbali kwa kuwa wana uwezo na juhudi za kufanya kazi kwa ufanisi na inajivunia ufanisi na jitihada zinazooneshwa na wanawake katika kutimiza majukumu yao.
Mwanamke anapaswa kuaminiwa kupewa fursa na nafasi katika kila sekta kwani ana uwezo wa kuleta matokeo chanya. Iwapo ujuzi anaoapewe nafasi bila kubaguliwa bali sifa na vigezo ndio vimpe nafasi.