Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
ahaaaaa sina account stanbic mkuu ila ni vizuri ukaja wewe na hyo hela nitafurai zaidiNgoja tukufikirie.. Kama una account stanbic bank weka no hapa tuangalie namengineyo..
Nipatie mawasiliano Pm
asanteni wapendwa ndo namalizia kufatiti kuna kituo watoto wana hali mbaya sana ndo nataka twende huko maana vingine vipo kibiashara ila kuna watoto wana hali mbaya hadi huruma yaaniMiss Natafuta siku ikikaribia nishitue PM ntapendelea kujumuika nawe, kama umepanga kituo unaweza kunitumia na tarehe.
Mungu azidi kukutunza.
mashaallah sisi tuliopo mkoani je?
mngewasiliana nae kama hizo nguo au other materials mnayo mtume vimfikie,pia mbarikiwe kwa kiguswa,just wazo tuu wakuuTumewaza pamoja na sie wa mikoani
Sawa tunashukurumngewasiliana nae kama hizo nguo au other materials mnayo mtume vimfikie,pia mbarikiwe kwa kiguswa,just wazo tuu wakuu
[emoji121]Siku si nyingi nitasherekea siku yangu ya kuzaliwa na kuaga ujana kwa amani
Namshukuru Mwenyenzi Mungu mwingi wa huruma na Rehema kwa wema na baraka zake nyingi saana katika maisha yangu.
Siku hiyo nitaenda kusherekea na watoto yatima sehemu flani, so naombeni kampani ratiba ipo hivi tutaenda asubuhi, tupike chai, tuwafulie tupike mchana, tucheze nao then tuondoke vitu vya kupika na sabuni za kufulia ninazo.
Nawakaribisha sana kwenye party yangu kama upo interested njoo pm nikupe kadi kama una nguo hutumii au mashuka ila yasiwe na ramani za sayari ya mars huko. unaweza kuleta naombeni niliowakosea mnisamehe sana tuanze upya, eneo ni Dar.
umebadilisha picha best kumbe upo nikadhani umekwenda kutembelea sayari ya jupiter hahahahaaaatarehe ngapi?
Wazo zuri sana, kama wote tungeazimisha siku zetu za kuzaliwa hivi tungesaidia sana jamii zetu.Siku si nyingi nitasherekea siku yangu ya kuzaliwa na kuaga ujana kwa amani
Namshukuru Mwenyenzi Mungu mwingi wa huruma na Rehema kwa wema na baraka zake nyingi saana katika maisha yangu.
Siku hiyo nitaenda kusherekea na watoto yatima sehemu flani, so naombeni kampani ratiba ipo hivi tutaenda asubuhi, tupike chai, tuwafulie tupike mchana, tucheze nao then tuondoke vitu vya kupika na sabuni za kufulia ninazo.
Nawakaribisha sana kwenye party yangu kama upo interested njoo pm nikupe kadi kama una nguo hutumii au mashuka ila yasiwe na ramani za sayari ya mars huko. unaweza kuleta naombeni niliowakosea mnisamehe sana tuanze upya, eneo ni Dar.
umebadilisha picha best kumbe upo nikadhani umekwenda kutembelea sayari ya jupiter hahahahaaaa