Kuelekea sikukuu ya uhuru wa Tanganyika: Historia ya Mshume Kiyate na Ali Msham

Kuelekea sikukuu ya uhuru wa Tanganyika: Historia ya Mshume Kiyate na Ali Msham

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
Mshume Kiyate akiishi Kariakoo Mtaa wa Tandamti na Ali Msham Magomeni Mapipa Mtaa wa Jaribu.

Wote wawili walikuwa wanachama shupavu wa TANU na marafiki wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Mama Maria Nyerere.

Itapendeza sana kama tutawazawadia mitaa waliyoishi kama kuonyesha shukurani zetu kwao kwa kupigania uhuru wa Tanganyika.


View: https://youtu.be/0CmqMLtjtas?si=YJ6Wn9z9_WFHXxxZ
 
Back
Top Bottom