Mohamed Said JF-Expert Member Joined Nov 2, 2008 Posts 21,967 Reaction score 32,074 Dec 5, 2023 #1 Mshume Kiyate akiishi Kariakoo Mtaa wa Tandamti na Ali Msham Magomeni Mapipa Mtaa wa Jaribu. Wote wawili walikuwa wanachama shupavu wa TANU na marafiki wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Mama Maria Nyerere. Itapendeza sana kama tutawazawadia mitaa waliyoishi kama kuonyesha shukurani zetu kwao kwa kupigania uhuru wa Tanganyika. View: https://youtu.be/0CmqMLtjtas?si=YJ6Wn9z9_WFHXxxZ
Mshume Kiyate akiishi Kariakoo Mtaa wa Tandamti na Ali Msham Magomeni Mapipa Mtaa wa Jaribu. Wote wawili walikuwa wanachama shupavu wa TANU na marafiki wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Mama Maria Nyerere. Itapendeza sana kama tutawazawadia mitaa waliyoishi kama kuonyesha shukurani zetu kwao kwa kupigania uhuru wa Tanganyika. View: https://youtu.be/0CmqMLtjtas?si=YJ6Wn9z9_WFHXxxZ
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Dec 10, 2023 #2 Uko na huyo mtangazaji anaitwa nani mzee wangu Ova