Kuelekea sikukuu za xmas na mwaka mpya kwa niliowakwaza

Kuelekea sikukuu za xmas na mwaka mpya kwa niliowakwaza

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Mimi Doctor Pancho,

Kuelekea mwishoni mwa mwaka na tunakaribia sikukuu hizi.
Kwa wale niliowakwaza kwa namna moja ama nyingine,
Ama hata kuwatusi maana mikwaruzano kwa binadamu ni kawaida.
Hivyo ningependa niwaambie tu hicho kilikuwa kionjo,
Mwaka mpya nitakuja moto zaidi ya hivyo nilivyokuwashia.
 
Mechanical engineers wamethibitisha pasi na mashaka kwamba injini ya gari ikifanikiwa kuwaka bila udhibiti mzuri wa dereva, basi madhila kutokea ni suala la muda tu.
 
Nimekusamehe ndg yangu ila sharti likiwa 1 tu sema kwa sauti kubwa mitano tenaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.

Hapo kesi itakua imeisha.
 
Back
Top Bottom