Naungana nawe na wakatoliki wote Tanazania, kwasabb siku hiyo ni muhimu zaidi kwani inaambatana na kutangazwa kwa majina ya watia nia wa ubunge walioshinda kura za maoni na kuthibitishwa na kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM Taifa kupeprusha bendera ya CCM kwenye uchaguzi mkuu wa kihistoria Tanzania October 29,2025.Tarehe 23.08.2025 ni siku iliyotangazwa na Kanisa Katoliki Tanzania kuwa itakuwa ni kilele cha maombi makuu kuhusu HAKI na AMANI katika Nchi yetu.
Naomba kuwaalika Watanzania wote wenye mapenzi mema, watu wa Dini zote na imani zote za Makabila yote na wanaokerwa na vitendo vya uvunjifu wa haki katika Taifa hili tuungane pamoja kumlilia Mungu mkuu ili aweze kutenda mambo makuu katika Nchi hii. Kila mmoja aombe kwa namna yoyote ile kulingana na imani yake.
Kwa kumlilia Mungu mkuu asiyeshindwa jambo lolote, kwa hakika Mungu mkuu, Mungu mwenye haki na Mungu asiyeshindwa jambo lolote atatenda mambo makuu katika Nchi hii haijapata kutokea. Mambo makuu haya yanaweza kutokea kabla, wakati au baada ya unaoitwa uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.
Utukuzwe Mungu mkuu na Mungu mwenye nguvu na uweza usiomithilika.
Amina.
Wa kwanza atakuwa wa mwisho na wa mwisho atakuwa wa kwanza.Yani nyie katholiki mko nyuma ya wakati sana,sisi tulishakung'uta maombi na tulishajibiwa kitambo....saivi tunasikilizia milio tu😎
We subiri. Nguvu ya Mungu haiwezi kushindana na jeshi lolote lile.Kuna mshangazi unaenda kupata stroke siku hiyo, sipati picha mimate itakavyokuwa inabubujika baada ya mdomo kumwagika
Hiyo ni yetu ya mshahara watu wa Serikali. Hivyo tutakuwa bize nao.Tarehe 23.08.2025 ni siku iliyotangazwa na Kanisa Katoliki Tanzania kuwa itakuwa ni kilele cha maombi makuu kuhusu HAKI na AMANI katika Nchi yetu.